Kwa nini Capitalism imeshindwa kuwatoa Kenya?

Kwa nini Capitalism imeshindwa kuwatoa Kenya?

Sisi tunapambana kutoka huko,
Afadhali fedha kuliko msaada wa chakula maana ni aibu alafu isitoshe mtu mwenye njaa unaweza mfanya chochote ndio maana muda mwingine wachina wanawapeni msaada wa pombe kama chakula.
Usitetee ushenzi! Sisi wote watembeza vibakuli! Hamna uafadhali hapa. You're part of the problem why Africa is considered shithole!
 
Mabingwa kwa multidimensional poverty EAC na SADC, jikomboeni kwanza, wacha kupayuka kutokana na news that are based on isolated cases., ukiweka shida za Kenya in context and look at them in broader sense, vs Tanzania's problems, kaka mubahurumusha sana, na ni aibu kwa nchi kubwa yenye baraka tele kama Tanzania. Afadhali iwe Ethiopia ama Kenya, tunaweza toa vijisababu, lakini nyie ni nani aliwaroga???.,

Sent using Jamii Forums mobile app
Cha muhimu hatuombi misaada ya chakula kwa sababu hatuna uzembe wa kijinga huku kama wakenya,
Hatuna rate kubwa ya unemployment,
Tunafanya miradi yetu mingi kwa pesa zetu tofauti na kenya ambayo hadi ikope kila kitu na mkopo ukikosekana mambo huwa magumu kama reli kuishia porini,
Hali ngumu ya maisha ya wakenya hadi kupelelea wengine kukodisha wake zao kwa tourists ili angalau wapate chochote.


 
Usitetee ushenzi! Sisi wote watembeza vibakuli! Hamna uafadhali hapa. You're part of the problem why Africa is considered shithole!
Hatuwezi fanana na failed state inayotembeza bakuli kuomba misaada ya chakula karne hii.
 
Kwanza kabisa mnaokuja huku wengi ni waganga njaa, mnaishia kwenye vigesti uchwara, mkiondoka mnaamini hiyo ndio Kenya, waulize Watanzania wenye uwezo wa kutalii ambao wameitembelea Kenya vizuri.
Bro unafikir nimeenda Kenya pekee hadi nifikie gesti uchwara....Hata hivyo hayana umuhinu hayo.... Cha muhimu ujue Kenya panafuka moshi mweusi..
 
Kwanza kabisa mnaokuja huku wengi ni waganga njaa, mnaishia kwenye vigesti uchwara, mkiondoka mnaamini hiyo ndio Kenya, waulize Watanzania wenye uwezo wa kutalii ambao wameitembelea Kenya vizuri.
Nimemuuliza alifika wapi haswa akakataa kusema.
 
Bro unafikir nimeenda Kenya pekee hadi nifikie gesti uchwara....Hata hivyo hayana umuhinu hayo.... Cha muhimu ujue Kenya panafuka moshi mweusi..
Hujafika Kenya, wacha uwongo wewe.
 
Tatizo lako wewe unatumia reference ya Kenya au Uganda kuwa ndio nchi, kwanini usitumie reference ya Tanzania kuwa ndio nchi na hizo zenu zikawa ni nusu ya nchi?.

Qatar, UAE zinaingia Mara 4 au 5 kwa hapo Kenya, 100% ya ardhi yao ni jangwa, lakini zinawapa misaada ya chakula. Ardhi yenu yenye rutuba ni 20% sawa na eneo la nchi ya Rwanda yote, lakini Rwanda inajitosheleza kwa chakula, ila ninyi mumewapa wazungu wanalima maua na chai, wakati wananchi wa kawaida wanakufa kwa njaa. Hayo madini yetu yangekuwa Kenya, yote yangekuwa chini ya Kenyatta familiy na wanasiasa wachache.

Tatizo la Kenya sio kukosekana kwa rasilimali, ni Sera mbovu za Kibepari, kwamba wachache wenye nguvu kujimilikisha rasilimali zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hzo ulizozitaja zina mafuta ya kutosha, so bado point yako haina mshiko jomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenyan capitalism will never work kwa sababu kuna a lot of economic incoherence in the way its capitalism or mode of production has been made. Kwa ufupi mm naweza kusema Kenya haijawahi kupata uhuru mpaka leo hata kama wanajitahidi kubadili katiba na mambo mengi. Ule mfumo wakikoloni ndio unaendelea ,aliondoka mkoloni mweupe akachukua nchi mkoloni mweusi maana hakuna kitu chochote kilichobadilika. Hakuna economic reforms especially interms of land redistribution na mambo mengine. Waliojimilikisha hayo mashamba hawana uwezo wa kutosha wazalisha chakula cha kulisha kenya ,pia walilipa mishahara midogo wafanyakazi wao kiasi kwamba it was just"hand to mouth". So Kenya is a very poor country. Watu wakatumia status zao kuhujumu nchi , wakaomba mikopo IMF and World Bank na kugawana ,so nchi ina madeni kama yote ambayo alienda mifukoni mwa wachache, na viongozi wengine wakawa vibaraka wa wa wazungu kusaidia kuiba Kenya. Hebu wakenya watujibu kwa nn kuna US and UK Military bases kwao zinafanya nn? kama siyo hawo wakoloni weusi walitaka ulinzi ili wasije kupatwa na hasira za wakenya walalahoi? Sina muda wa kuandika mengi ,may be later
Ujamaa ndani ya miaka 50 bado umeshindwa kuwatoa katika dimbwa la umaskini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakua huna akili ukidhani uchumi unaletwa na ardhi peke ake. Sis hatuna viwanda, vipo but sio vya kutosha so uchumi wetu unatokana na matumizi mazuri ya ardhi etu kwa sana nikimaanisha uzalishaji wa mazao na hayo madin japo sio kwa wingi, hatuna njaa hapa Tz, mazao ya chakula na biashara Tz tupo top ten africa. therefore tunatendea haki ardhi etu japo sio katka kiwango cha kuridhisha but we are stil improving.

Usidanganye watu kuwa Kenya haina madini kenya ipo na Gold, Copper, ilmenite and tantalum na mnadhalisha kwa wingi tu, pia Nyie mnajifanya mna viwanda, en stil mnakufa njaa. Kama ardhi enu ni jangwa it means eneo la jangwa mnaliacha,hamdeal nalo which is good. focus enu ipo pale padg tu(na mmefeli), while in Tz tuna eneo kubwa la kudeal with na popln kubwa en we are duing fine coz njaa was never our problem, so ardhi ndogo yenye mining, tourism, agricultural industries ni advantage na sio disadvantage coz popln enu ni ndgo vlevle. But coz nyie ni failed state mmeshindwa ata na ethiopia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mihogo ndio inawafanya mjione hamna njaa sio[emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo Rotuba mzee umerekebishwa hapo, ni RUTUBA,
Hiyo Rutuba ndiyo imefanya kama nchi tumejitosheleza kwa Chakula na tuna ziada tunayouza na kusaidia nchi maskini kama Kenya,
Kumbuka Kenya ardhi yenye rutuba yote inamilikiwa na Wanasiasa Ikiwemo familia ya uhuru kenya ambayo pekee inamiliki ardhi inayotosha kuhifadhi wakenya milioni 20 (45% ya Wakenya Wote) pamoja na Wazungu wanaolima maua na chai na kuuza ulaya na Marekani na kuacha Wakenya walio wengi kuishi kwenye umaskini wa kutupwa, Njaa imeathiri sana Maelfu ya Wakenya, mlo ni Taabu sana na Sasa tunashukuru kuona mataifa ya Marekani, Urusi, Uchima na hata UAE
View attachment 1308050View attachment 1308051
[emoji116][emoji116][emoji116]
tapatalk_1576241742080.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale kilichowasaidia ni kwamba wote kwa pamoja ni wachapa kazi, nchi kama Singapore ina majirani wachapa kazi wote, sasa sisi hapa tumezungukwa na wazembe hadi inatucost. Binadamu huendana kulingana na mazingira (lipo Kisayansi), ndio maana inashauriwa uhame Tandale bora ukaishi kwenye chumba cha vijakazi Masaki, ili uamke, lakini ukibaki Mbagalla, kutwa utakua unawaza kuwahi ukacheze bao na vigodoro.

Ukiangalia hii ramani, mataifa yenye uchumi bora, wote ni majirani halafu makajamba wa LDC wamekusanyika pamoja, Kenya tu ndio mpweke.
full_map-un-856d.jpg
Your argument is dumb. Swaziland is completely bordered by South Africa but it is one of the most poorest countries in the world.
 
Wewe umekataa kukubali kwamba sisi tunapanda chakula chochote hapa Kenya, umebakia kuamini kwamba tunaimport chakula chetu chote. Sasa sina la kujadili na mtu anayefikiria hivi.
Hivi Tony254 una matatizo gani?, hukuwa hivi kabisa, umekua ukijenga hoja dhahifu sana siku hizi. Rais wenu anewaambia kwamba Kenya haina uwezo wa kujilisha, kwamba chakula mnachozalisha hakitoshelezi mahitaji yenu, hivyo mnalazimika kuagiza chakula toka nje, ndicho nilichokuambia, kwamba mnalazimika kuagiza chakula ili kufidia Pengo la chakula mnachozalisha, jambo la kushangaza unang'ang'ana na kwamba tumesema hamlimi chakula kabisa. Hii ni dalili kwamba sasa hivi unapoteza uwezo wa kujenga hoja, sasa unaanza kuingia ktk kundi la wakenya wengi la" mwaswast"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom