Kwa nini Capitalism imeshindwa kuwatoa Kenya?

Kwa nini Capitalism imeshindwa kuwatoa Kenya?

You can't eat GDP.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
tapatalk_1573567025989.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ndio matunda ya uhuru wa habari, yani mkifanya mambo yenu mnaweka na data na mna post mtakavyo bila ya kufikiria mara mbili...na hutoona mtu akija kuanza kulaumu eti wanatumiwa na mabeberu[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unayeishi kwenye slum na huyu aliyepo serikalini nani anayesema ukweli.

 
Your argument is dumb. Swaziland is completely bordered by South Africa but it is one of the most poorest countries in the world.

Swaziland is an absolute monarchy, ruled and driven by whims and impulses of an individual, he rules by decree, that is a shithole place, no wonder it has the highest HIV prevalence rate in the world.
 
Zipo Marekani pia kule ambako uchumi wao umezidi wenu mara milioni...
Sawa ila punguzeni majivuno Wakenya wenzenu bado wapo kwenye ufukara ulotukuka.Niliwahi kufika pale Mbita aise kama maisha niyale basi hao Ndugu zenu hata Jehanamu wanaweza kuishi! Loh siyo kwa maisha yale!
 
Uchumi wetu ni mara mbili yenu halafu unaropokwa bila aibu eti Capitalism imefeli Kenya. Akili za kuku hizi.

On papers your economy is as thrice as ours. But on ground you are a food beggar. This's why everyone is bringing buckets of food at your door step.
 
Tatizo lako wewe unatumia reference ya Kenya au Uganda kuwa ndio nchi, kwanini usitumie reference ya Tanzania kuwa ndio nchi na hizo zenu zikawa ni nusu ya nchi?.

Qatar, UAE zinaingia Mara 4 au 5 kwa hapo Kenya, 100% ya ardhi yao ni jangwa, lakini zinawapa misaada ya chakula. Ardhi yenu yenye rutuba ni 20% sawa na eneo la nchi ya Rwanda yote, lakini Rwanda inajitosheleza kwa chakula, ila ninyi mumewapa wazungu wanalima maua na chai, wakati wananchi wa kawaida wanakufa kwa njaa. Hayo madini yetu yangekuwa Kenya, yote yangekuwa chini ya Kenyatta familiy na wanasiasa wachache.

Tatizo la Kenya sio kukosekana kwa rasilimali, ni Sera mbovu za Kibepari, kwamba wachache wenye nguvu kujimilikisha rasilimali zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
' ila ninyi mumewapa wazungu wanalima maua na chai'

Hahah itabidi wale hayo maua na hizo chai kama chakula sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya kuanzia kesho,yaani 2020 tunaingia katika nchi chache sana Afrika ambazo zina GDP zaidi ya $100 billion. Wacha wajinga waendelee kuropokwa, sisi tunafanya kazi

GDP ain't nothing, but a number. The truth is, you're among the good food donation recipients. You receive food from even the arid countries.
 
Back
Top Bottom