Kwa nini Capitalism imeshindwa kuwatoa Kenya?

Kwa nini Capitalism imeshindwa kuwatoa Kenya?

Kuna chuki gani hapo?
Kuambiwa ukweli ndio chuki?
Mkishindwa kujadili mada mnaanza kusema sijui mnachukiwa,
Ingependeza Sana ungejadili mada husika na sio kuingiza mambo yasiyohitajika.

We levels zako ni post kutoka twitter, mada km hizi huziwezi...
Umeona wanvyojadili mada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uniliver tu ndio inafanya useme eti huyo dikteta alikuwa mzuri kwa uchumi wetu? Hivi unajua uchumi wetu ulikuwa unakua kwa asilimia moja au asilimia sufuri. Yaani uchumi haukuwi hata kidogo. Pia 1990s tulipigwa sanctions na America. Uchumi ukadorora, tukakosa foreign exchange, hata tukaingia kwenye recession (yaani uchumi unaanza kupungua badala ya kuongezeka)

Acha fix mpigwe sanctions kwa harakati gani?...
 
Vigezo gani unatumia kupima maana nijuavyo Kenya ni kainchi kadogo bila madini wala raslimali na zaidi ya nusu yake ni kame tupu lakini kanaongoza kiuchumi na kushinda liinchi kama Tanzania ambalo lenyewe ni muungano wa mataifa mawili na lina rotuba nzuri kila mahali na madini kote kote na kila kitu kizuri, ila lenyewe maskini wa kutupwa.
Sasa wewe hapo mwananchi wa nchi kama hiyo maskini unatumia vigezo gani kuja kujilinganisha na Kenya.

Ona Kenya ilivyo na upweke kwenye hi ramani

View attachment 1307857
Kinachoonekana kwenye hiyo ramani kiko tofauti na hali halisi on the ground.. NBY ni kama kijiji kimoja kikuubwa, sawa tu na MBY.
 
Ni sekta gani ya kiuchumi isipokuwa Mining na Tourism ambayo Tanzania mmetushinda? Hata hiyo Agriculture sidhani kama mmetushinda. Service industry tumewagonga. Manufacturing tumewagonga. Real estate tumewagonga. ICT tumewagonga. Transportation tumewagonga. Retail tumewagonga. Roads and other infrastructure tumewagonga. Sasa ni uchumi gani huo wa ujambazi unaotaja hapa?
Lete data za constriction, transportation na agriculture sectors za 2018/2019 muone jinsi tulivyowatupa kwa mbali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom