Kwa nini Capitalism imeshindwa kuwatoa Kenya?

Kwa nini Capitalism imeshindwa kuwatoa Kenya?

Kenya kuanzia kesho,yaani 2020 tunaingia katika nchi chache sana Afrika ambazo zina GDP zaidi ya $100 billion. Wacha wajinga waendelee kuropokwa, sisi tunafanya kazi
You can't eat GDP 😂😂😂
Yaani Kujisifu una uchumi mkubwa wakati kwa ground vitu ni different.

Kenya kuanzia kesho,yaani 2020 tunaingia katika nchi chache sana Afrika ambazo zina GDP zaidi ya $100 billion. Wacha wajinga waendelee kuropokwa, sisi tunafanya kazi

100 billion GDP USD kwa watu > milioni 45 ni ndogo sana, ukichukulia nchi ambayo imekuwa ikipractice capitalistic economic system kwa miaka yote hiyo, 100 bilioni GDP inaweza kuzalishwa hata milioni 2 tu, haihitaji watu milioni zaidi ya 45 na miaka zaidi ya 50 kujenga 100 billion dollar economy, hiyo ni failure ukiniuliza mimi.
 
Toa miaka 24 tuliokiwa chini ya dikteta mjinga ambaye hakuwa amesoma na hakujua mambo ya kuendeleza uchumi wa nchi. Hakujenga barabara wala industries.
 
Toa miaka 24 tuliokiwa chini ya dikteta mjinga ambaye hakuwa amesoma na hakujua mambo ya kuendeleza uchumi wa nchi. Hakujenga barabara wala industries.

Kenya ina private sector ambayo ilikuwa active hata wakati wa Moi kwanza hata Kampuni nyingi zimehama Kenya kipindi cha post Moi, Kampuni kama Unilever waliokuwa wana viwanda vya kutengeneza karibia kila kitu na walikuwa wana export eneo lote la Afrika, Viwanda vingi vya Unilever vilifungwa na kuhama in post Moi era, hivyo haina uhusiano na Moi kwani enzi zu Moi hivyo viwanda vilikuwepo.
 
Kenya ina private sector ambayo ilikuwa active hata wakati wa Moi kwanza hata Kampuni nyingi zimehama Kenya kipindi cha post Moi, Kampuni kama Unilever waliokuwa wana viwanda vya kutengeneza karibia kila kitu na walikuwa wana export eneo lote la Afrika, Viwanda vingi vya Unilever vilifungwa na kuhama in post Moi era.
Uniliver tu ndio inafanya useme eti huyo dikteta alikuwa mzuri kwa uchumi wetu? Hivi unajua uchumi wetu ulikuwa unakua kwa asilimia moja au asilimia sufuri. Yaani uchumi haukuwi hata kidogo. Pia 1990s tulipigwa sanctions na America. Uchumi ukadorora, tukakosa foreign exchange, hata tukaingia kwenye recession (yaani uchumi unaanza kupungua badala ya kuongezeka)
 
Kenya ina private sector ambayo ilikuwa active hata wakati wa Moi kwanza hata Kampuni nyingi zimehama Kenya kipindi cha post Moi, Kampuni kama Unilever waliokuwa wana viwanda vya kutengeneza karibia kila kitu na walikuwa wana export eneo lote la Afrika, Viwanda vingi vya Unilever vilifungwa na kuhama in post Moi era, hivyo haina uhusiano na Moi kwani enzi zu Moi hivyo viwanda vilikuwepo.
Kibaki alipoingia madarakani ndio akaanza kujenga barabara tena kuanzia Mombasa hadi Busia. Kwa sababu Moi aliwacha barabara zikaharibika bila kuzikarabati
 
Unajua Capitalism Success ?, unataka iwe vipi ?
The Richest Minority and the Poorest Majority; That is Capitalism at its Best..., and it shows au ulitaka iwe vipi ?

Trickle down of wealth does not happen often enough and all you remain with is inequality....
 
Qatar na UAE wana mafuta tele,na idadi yao ni ndogo sana,usizilinganishe na viji nchi vyetu fukara huku.
Tatizo lako wewe unatumia reference ya Kenya au Uganda kuwa ndio nchi, kwanini usitumie reference ya Tanzania kuwa ndio nchi na hizo zenu zikawa ni nusu ya nchi?.

Qatar, UAE zinaingia Mara 4 au 5 kwa hapo Kenya, 100% ya ardhi yao ni jangwa, lakini zinawapa misaada ya chakula. Ardhi yenu yenye rutuba ni 20% sawa na eneo la nchi ya Rwanda yote, lakini Rwanda inajitosheleza kwa chakula, ila ninyi mumewapa wazungu wanalima maua na chai, wakati wananchi wa kawaida wanakufa kwa njaa. Hayo madini yetu yangekuwa Kenya, yote yangekuwa chini ya Kenyatta familiy na wanasiasa wachache.

Tatizo la Kenya sio kukosekana kwa rasilimali, ni Sera mbovu za Kibepari, kwamba wachache wenye nguvu kujimilikisha rasilimali zote.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SA is no longer a country any nation should aspire to become like, maybe Singapore or Malaysia types., SA has issues., going negative! Kenya we are running our own race, trying to fix ourselves, though slow, but making progress.,
Ukabila na ufisadi tu ndiyo unawarudisha nyuma wakenya,kinyume na hapo kenya ingekua level za SA,Malaysia,au singapore.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kibaki alipoingia madarakani ndio akaanza kujenga barabara tena kuanzia Mombasa hadi Busia. Kwa sababu Moi aliwacha barabara zikaharibika bila kuzikarabati

Lkn bado ilikuwa ni capitalistic system.
 
Mbona alishajbiwa, humu sio lazima ujibiwe unavyotaka maana watu tuna uhuru wa kushirikisha ubongo tunapotoa majibu, jibu lenyewe ni kwamba Kenya imefaulu kuongoza kiuchumi, kijeshi, kielimu n.k. licha ya kuwa kainchi kadogo ambako zaidi ya nusu yake ni kame tupu na hamna madini.
Nyie hapo nchi kubwa muungano wa mataifa mawili yenye rotuba kila sehemu na madini kote kote na vivutio bora vya utalii kuzidi mataifa yote ya Afrika lakini maskini balaa, Kenya inaelekea kuwa tajiri mara mbili yenu, hauoni kuna kasoro sehemu.
Impact ya huo uchumi wenu mkubwa ni nn....? Mbona kero zilezile tu...Mara mia hata huku.... Jamani au mi ndio naona peke yangu....kuna kipindi nilikuwa Kenya... Honestly hamuendani kabisa na mnavyotuaminisha.
 
Lkn bado ilikuwa ni capitalistic system.
Capitalistic system lazima ije na open market, investor friendly policies and stable political environment. Capitalism inaendana na democracy kwani hakuna investor anayeweza invest pesa yake katika dictatorship. Tulipopata uhuru wa pili baada ya dikteta kuondoka ndipo investors wengi wakaja kuinvest Kenya. Industries zilizokuja Kenya baada ya mwaka wa 2003 ni nyingi sana na zote zilikuja kwa sababu ya investor friendly environment. Yaani investors walijua kuwa pesa yao ilikuwa safe.
 
Impact ya huo uchumi wenu mkubwa ni nn....? Mbona kero zilezile tu...Mara mia hata huku.... Jamani au mi ndio naona peke yangu....kuna kipindi nilikuwa Kenya... Honestly hamuendani kabisa na mnavyotuaminisha.
Ulikuwa upande gani wa Kenya.
 
Vigezo gani unatumia kupima maana nijuavyo Kenya ni kainchi kadogo bila madini wala raslimali na zaidi ya nusu yake ni kame tupu lakini kanaongoza kiuchumi na kushinda liinchi kama Tanzania ambalo lenyewe ni muungano wa mataifa mawili na lina rotuba nzuri kila mahali na madini kote kote na kila kitu kizuri, ila lenyewe maskini wa kutupwa.
Sasa wewe hapo mwananchi wa nchi kama hiyo maskini unatumia vigezo gani kuja kujilinganisha na Kenya.

Ona Kenya ilivyo na upweke kwenye hi ramani

View attachment 1307857
Kumbe kenya imeeendelea kushinda ethiopia [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trying to fix yourselves with corruption?? Kwa hiyo una ji brag kuwa SA siyo level yenu tena? Mumeshaiacha nyuma? Nyie kitu mnaweza sawasawa ni ujambazi tu.
SA is no longer a country any nation should aspire to become like, maybe Singapore or Malaysia types., SA has issues., going negative! Kenya we are running our own race, trying to fix ourselves, though slow, but making progress.,

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umereply hiyo comment ni wazi kuwa umekubali kuwa nchi yenu ni fukara,
Mada ikiwa nzito mnasema tuna chuki na kenya kumbe ni mada ndio imekuwa ngumu kwenu kuijadili 😂😂😂
Sijashindwa kujadili. Ninajadili na Barbarosa kwa ustaarabu. Lakini kuna watu wengine humu ambao chuki yao kwa Kenya inawazuia kujadili. Mtu anayesema kwamba Kenya hatupandi chakula chochote eti tunaimport kila kitu ni mtu serious kweli?
 
Back
Top Bottom