Nipe mwaka na duration ya hizo sanctions plus reason to why they imposed sanctions, siyo maneno mengi...Sasa unapinga nini? Kati ya wewe na mimi nani anajua historia ya Kenya?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani uwana chama mpka kadi...
Kisha usinizingue mm
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuambia 1990s. Kuna kitu inaitwa google, wacha kusumbua.Nipe mwaka na duration ya hizo sanctions plus reason to why they imposed sanctions, siyo maneno mengi...
Nasikia hadi yule mkulima mzungu anaye kamata ndege zetu ana miliki mashamba kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
"Mwakani".... heri ya mwaka mpya.Huo ndiyo ushahidi kuwa Kenya ni Mali ya mabeberu Na familia ya Kenyatta ,kama GDP ya nai ni sawa Na ya tz vipi kuna slum kila kona 72% ya wakaazi wa naii wanapatikana Kwa slum were that GDP go
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki kitu kinaitwa GDP mfano mzuri ni Nigeria GDP $400bil Ila ni nothing kimaisha sasa
75% ya GDP ya kenya siyo Mali ya wakenya
Nigeria 80% ya GDP siyo Mali yao
Na Tanzania ni only 10% ya GDP ndiyo siyo mali ya watz hivyo 90% ni Mali yetu ndiyo maana tunaweza kufanya miladi mingi Kwa Pesa yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasa! Na hata ukiendelea mbali kuhusu zile infrastructure walizoachiwa na wakoloni(wanaowaabudu) zilizokuwa zinapeleka rasilimali na maliasili kwao tulitegemea wangekuwa mbali mno, ila njaa, rushwa, kujigamba, kuuwana wakati wa uchaguzi na kudanganya dunia kwamba nchi ina hiki au kile kumbe kamba za kina Yahaya?!Kenya ni Capitalistic state tangia day 1, lkn kwa nini imeshindwa kuwaondoa hapo? Je, tatizo ni IQ au ni nini? BTW nchi zote ambazo zimekuwa zikifwata capitalistic economic system ziko mbali sana Kiuchumi, lkn Kenya bado wana matatizo yale yale yanayozisumbua (former) socislistic states, kama chakula, tiba, malazi, na hata vitu kama maji safi ya kunywa bado ni shida, sasa kwa nini Capitalism imeshindwa Kenya?
Kitu kinachonichanganya kuhusu Kenya ni data zenu ni nzuri lakini maisha ya mwananchi ni mabaya. Bila hata kusita naamini mna GDP nzuri lakini big chunk ya keki ya taifa wanafaida wachache sana. Utakuja na data zako zote lakini huu ni ukweli usiopingika. Nakuacha na track ya King kaka- Wajinga Nyinyi, listen and reflect.Tulia utafute data za pengo la uchumi baina yetu na nyie, utashangaa leo tupo karibu mara mbili yenu, wakati miaka ya 80s tuliwadizidi kwa dollar $2b pekee yake.
Zitaje hzo infrastructure tulizoachiwa na mkoloniHapo sasa! Na hata ukiendelea mbali kuhusu zile infrastructure walizoachiwa na wakoloni(wanaowaabudu) zilizokuwa zinapeleka rasilimali na maliasili kwao tulitegemea wangekuwa mbali mno, ila njaa, rushwa, kujigamba, kuuwana wakati wa uchaguzi na kudanganya dunia kwamba nchi ina hiki au kile kumbe kamba za kina Yahaya?!
Nyang'au nyang'au tu, subiri wataisoma namba miaka 5 ijayo...
Tatizo hao wachache kw idadi wamewazidi tanzania+uganda+rwanda ...Kitu kinachonichanganya kuhusu Kenya ni data zenu ni nzuri lakini maisha ya mwananchi ni mabaya. Bila hata kusita naamini mna GDP nzuri lakini big chunk ya keki ya taifa wanafaida wachache sana. Utakuja na data zako zote lakini huu ni ukweli usiopingika. Nakuacha na track ya King kaka- Wajinga Nyinyi, listen and reflect.
Tatizo hao wachache ni maskini kama wenzao tu lakini wanajipa matumaini kupitia data. Shida za wananchi wa EA ni zile zile hamna mtu yupo better off to the extent ya kumcheka mwenzake.Tatizo hao wachache kw idadi wamewazidi tanzania+uganda+rwanda ...
What an irony[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ume change gear, si wewe ulisema uchumi wetu wanaoufaidi ni wachache...Tatizo hao wachache ni maskini kama wenzao tu lakini wanajipa matumaini kupitia data. Shida za wananchi wa EA ni zile zile hamna mtu yupo better off to the extent ya kumcheka mwenzake.
Unaongea nini wakati ukioga unajisugua mku*** kw sabuni za kenyaLeo mwaka mpya jamani wekaazi wa slum leo kaogeni na sabuni siyo mbaya japo najua kunuka ni kacha yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umia pole ndiyo mambo ya mwakani haya yameanza lazima tudunge sindano tako la Kikuyu za kutoshaWith the biggest multidimensional poverty in EAC hii ni porojo tupu.
90% Mali yenyu na nani? Where does it go? Tz imeshikiliwa na Arabs, Indians, Kenyan companies na wakuu wachache katika serikali ya CCM, the rest of you are mere dwellers na wajakazi in Tanzania.
In USA 2% to 10% of high net worth individuals control 90% of its economy, does it mean Tz mko poa kuliko wamarekani?., fikira za kipumbavu hizi!!., 2020 imefika, weka economic data, social status data etc, ya Tz na Kenya tuone kazi imefikia wapi? HAPPY NEW YEAR.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya ni Capitalistic state tangia day 1, lkn kwa nini imeshindwa kuwaondoa hapo? Je, tatizo ni IQ au ni nini? BTW nchi zote ambazo zimekuwa zikifwata capitalistic economic system ziko mbali sana Kiuchumi, lkn Kenya bado wana matatizo yale yale yanayozisumbua (former) socislistic states, kama chakula, tiba, malazi, na hata vitu kama maji safi ya kunywa bado ni shida, sasa kwa nini Capitalism imeshindwa Kenya?
Qatar na UAE wana mafuta tele,na idadi yao ni ndogo sana,usizilinganishe na viji nchi vyetu fukara huku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Janerose aka VIKING23 njoo umuone komora kakasirika kisa nimemlazimisha akaoge kaanza kutukana kama wewe @VIKING023
Ukweli upo pale pale ni wachache wanaofaidi. Tofauti ni moja tu, hao wachache wa Kenya wanahodhi mali nyingi kuliko wenzao wa TZ,UG...etc.Ume change gear, si wewe ulisema uchumi wetu wanaoufaidi ni wachache...
Sasa mi kinachonishangaza hao wachache wa kenya ni wengi kuliko tanzania+uganda+rwanda...
Najua unaukimbia huu ukwel, lkn lazima ikuingie upende upende usipende[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Malizia kw idadi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukweli upo pale pale ni wachache wanaofaidi. Tofauti ni moja tu, hao wachache wa Kenya wanahodhi mali nyingi kuliko wenzao wa TZ,UG...etc.