Kwa nini Capitalism imeshindwa kuwatoa Kenya?

With the biggest multidimensional poverty in EAC hii ni porojo tupu.
90% Mali yenyu na nani? Where does it go? Tz imeshikiliwa na Arabs, Indians, Kenyan companies na wakuu wachache katika serikali ya CCM, the rest of you are mere dwellers na wajakazi in Tanzania.

In USA 2% to 10% of high net worth individuals control 90% of its economy, does it mean Tz mko poa kuliko wamarekani?., fikira za kipumbavu hizi!!., 2020 imefika, weka economic data, social status data etc, ya Tz na Kenya tuone kazi imefikia wapi? HAPPY NEW YEAR.
Hiki kitu kinaitwa GDP mfano mzuri ni Nigeria GDP $400bil Ila ni nothing kimaisha sasa
75% ya GDP ya kenya siyo Mali ya wakenya
Nigeria 80% ya GDP siyo Mali yao
Na Tanzania ni only 10% ya GDP ndiyo siyo mali ya watz hivyo 90% ni Mali yetu ndiyo maana tunaweza kufanya miladi mingi Kwa Pesa yetu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya ni Capitalistic state tangia day 1, lkn kwa nini imeshindwa kuwaondoa hapo? Je, tatizo ni IQ au ni nini? BTW nchi zote ambazo zimekuwa zikifwata capitalistic economic system ziko mbali sana Kiuchumi, lkn Kenya bado wana matatizo yale yale yanayozisumbua (former) socislistic states, kama chakula, tiba, malazi, na hata vitu kama maji safi ya kunywa bado ni shida, sasa kwa nini Capitalism imeshindwa Kenya?
Hapo sasa! Na hata ukiendelea mbali kuhusu zile infrastructure walizoachiwa na wakoloni(wanaowaabudu) zilizokuwa zinapeleka rasilimali na maliasili kwao tulitegemea wangekuwa mbali mno, ila njaa, rushwa, kujigamba, kuuwana wakati wa uchaguzi na kudanganya dunia kwamba nchi ina hiki au kile kumbe kamba za kina Yahaya?!
Nyang'au nyang'au tu, subiri wataisoma namba miaka 5 ijayo...
 
Tulia utafute data za pengo la uchumi baina yetu na nyie, utashangaa leo tupo karibu mara mbili yenu, wakati miaka ya 80s tuliwadizidi kwa dollar $2b pekee yake.
Kitu kinachonichanganya kuhusu Kenya ni data zenu ni nzuri lakini maisha ya mwananchi ni mabaya. Bila hata kusita naamini mna GDP nzuri lakini big chunk ya keki ya taifa wanafaida wachache sana. Utakuja na data zako zote lakini huu ni ukweli usiopingika. Nakuacha na track ya King kaka- Wajinga Nyinyi, listen and reflect.
 
Hapo sasa! Na hata ukiendelea mbali kuhusu zile infrastructure walizoachiwa na wakoloni(wanaowaabudu) zilizokuwa zinapeleka rasilimali na maliasili kwao tulitegemea wangekuwa mbali mno, ila njaa, rushwa, kujigamba, kuuwana wakati wa uchaguzi na kudanganya dunia kwamba nchi ina hiki au kile kumbe kamba za kina Yahaya?!
Nyang'au nyang'au tu, subiri wataisoma namba miaka 5 ijayo...
Zitaje hzo infrastructure tulizoachiwa na mkoloni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu kinachonichanganya kuhusu Kenya ni data zenu ni nzuri lakini maisha ya mwananchi ni mabaya. Bila hata kusita naamini mna GDP nzuri lakini big chunk ya keki ya taifa wanafaida wachache sana. Utakuja na data zako zote lakini huu ni ukweli usiopingika. Nakuacha na track ya King kaka- Wajinga Nyinyi, listen and reflect.
Tatizo hao wachache kw idadi wamewazidi tanzania+uganda+rwanda ...
What an irony[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hao wachache kw idadi wamewazidi tanzania+uganda+rwanda ...
What an irony[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hao wachache ni maskini kama wenzao tu lakini wanajipa matumaini kupitia data. Shida za wananchi wa EA ni zile zile hamna mtu yupo better off to the extent ya kumcheka mwenzake.
 
Ume change gear, si wewe ulisema uchumi wetu wanaoufaidi ni wachache...
Sasa mi kinachonishangaza hao wachache wa kenya ni wengi kuliko tanzania+uganda+rwanda...

Najua unaukimbia huu ukwel, lkn lazima ikuingie upende upende usipende[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
With the biggest multidimensional poverty in EAC hii ni porojo tupu.
90% Mali yenyu na nani? Where does it go? Tz imeshikiliwa na Arabs, Indians, Kenyan companies na wakuu wachache katika serikali ya CCM, the rest of you are mere dwellers na wajakazi in Tanzania.

In USA 2% to 10% of high net worth individuals control 90% of its economy, does it mean Tz mko poa kuliko wamarekani?., fikira za kipumbavu hizi!!., 2020 imefika, weka economic data, social status data etc, ya Tz na Kenya tuone kazi imefikia wapi? HAPPY NEW YEAR.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umia pole ndiyo mambo ya mwakani haya yameanza lazima tudunge sindano tako la Kikuyu za kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya ni Capitalistic state tangia day 1, lkn kwa nini imeshindwa kuwaondoa hapo? Je, tatizo ni IQ au ni nini? BTW nchi zote ambazo zimekuwa zikifwata capitalistic economic system ziko mbali sana Kiuchumi, lkn Kenya bado wana matatizo yale yale yanayozisumbua (former) socislistic states, kama chakula, tiba, malazi, na hata vitu kama maji safi ya kunywa bado ni shida, sasa kwa nini Capitalism imeshindwa Kenya?

Kwenye nation bracket unaifananisha Kenya na mavi gani?

Hizo Socialist States unazokunya hapa hujazitaja majina tuone kweli zimeipita Kenya!

Na kumbuka,tunaongelea Nations Bracket Kenya ilipo!

Unajiongelea tu kama unaharisha!

Nothing beats True Capitalism,nothing!
 
Ume change gear, si wewe ulisema uchumi wetu wanaoufaidi ni wachache...
Sasa mi kinachonishangaza hao wachache wa kenya ni wengi kuliko tanzania+uganda+rwanda...

Najua unaukimbia huu ukwel, lkn lazima ikuingie upende upende usipende[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli upo pale pale ni wachache wanaofaidi. Tofauti ni moja tu, hao wachache wa Kenya wanahodhi mali nyingi kuliko wenzao wa TZ,UG...etc.
 
Malizia kw idadi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Manake nashangazwa na hao wengi wenu hata wakiletwa pamoja hawa wafikii wale wachache wa kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom