Kwa nini CCM kila wakati wanawaza kuwa CHADEMA itakufa!?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Tangu mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa tena nchini, na tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi kufanyika mwaka 1995, sijaona chama kinachochukiwa na CCM kuliko CHADEMA.

Kitu pekee nisichoelewa, ni kwa nini CCM kila wakati husema hadharani kuwa CHADEMA inakufa ama itakufa!

CHADEMA ikifa CCM itapata faida gani na kwa nini kifo cha CHADEMA kinashabikiwa zaidi kuliko vyama vingine?
 
Lengo lao ni kuimaliza CHADEMA kwa kisingizio kuwa kuwa umma wa Watanzania unawakubali.Hawataki Rais aguswe,hawataki maslahi yao yaguswe.Mbowe alishtakiwa kwa ugaidi na sasa Lisu ni mhaini.Viva CCM.
 
Tangu mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa tena nchini, na tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi kufanyika mwaka 1995, sijaona chama kinachochukiwa na CCM kuliko CHADEMA.

Kitu pekee nisichoelewa, ni kwa nini CCM kila wakati husema hadharani kuwa CHADEMA inakufa ama itakufa!

CHADEMA ikifa CCM itapata faida gani na kwa nini kifo cha CHADEMA kinashabikiwa zaidi kuliko vyama vingine?

Kwa sababu siku zote wamekuwa na washirika wao kindaki ndaki ndani ya CDM:

1744224725751.png

Mbaya zaidi wakiwamo wasomi:

Pre GE2025 - Kesi ya Lissu, harakati za ukombozi; CHADEMA kuweni macho na mamluki, "katika viwalavyo, na nguoni mwenu, vimo!"

Apumzike Kwa amani, Mzee wetu wa Tanga kwao Retiree.
 
Nashangaa sana wanaosikitika chadema kutosaini maadili ni CCM na ndiyo wanaongea sana...utasikia...chadema itakufaa...sasa mmoja nikamuuliza Chadema ikifa wewe unapata hasara gani.....? Hamuoni ni faida kwenu..?😂

Kusikia hivyo akakasirika karibia anitukane
 
Mwaka 1994/5 AGUSTINO LYATONGA MREMA Alihama toka ccm kwenda NCCR. Mpaka wabeba mikoba yake walikuwa watu wa TISS.
TISS Wamejipenyeza kila mahali ndani ya vyama vya siasa.
TISS Wa TZ Ni wapuuzi sana
 
Tangu mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa tena nchini, na tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi kufanyika mwaka 1995, sijaona chama kinachochukiwa na CCM kuliko CHADEMA.

Kitu pekee nisichoelewa, ni kwa nini CCM kila wakati husema hadharani kuwa CHADEMA inakufa ama itakufa!

CHADEMA ikifa CCM itapata faida gani na kwa nini kifo cha CHADEMA kinashabikiwa zaidi kuliko vyama vingine?
huenda ni kwasababu chadema imezongwa na roho ya mauti gentleman katika ulimwengu wa roho :pedroP:
 
Mwaka 1994/5 AGUSTINO LYATONGA MREMA Alihama toka ccm kwenda NCCR. Mpaka wabeba mikoba yake walikuwa watu wa TISS.
TISS Wamejipenyeza kila mahali ndani ya vyama vya siasa.
TISS Wa TZ Ni wapuuzi sana
Hao watu kuwepo ndani ya vyama vya upinzani si jambo la ajabu. Ni katika ku balance equation ya siasa . The same na wao ccm hata wao ndani mwao kuna......anyway
 
Tangu mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa tena nchini, na tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi kufanyika mwaka 1995, sijaona chama kinachochukiwa na CCM kuliko CHADEMA.

Kitu pekee nisichoelewa, ni kwa nini CCM kila wakati husema hadharani kuwa CHADEMA inakufa ama itakufa!

CHADEMA ikifa CCM itapata faida gani na kwa nini kifo cha CHADEMA kinashabikiwa zaidi kuliko vyama vingine?
Never ever. Tone tone ipo active sana. Hakuna mtanzania atakubali chadema ife
 
Asilimia 99.9 ya wana CCM ni mazombi ki akili, jiepushe kuwasikiliza ama kuwatilia maanani
 
Tangu mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa tena nchini, na tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi kufanyika mwaka 1995, sijaona chama kinachochukiwa na CCM kuliko CHADEMA.

Kitu pekee nisichoelewa, ni kwa nini CCM kila wakati husema hadharani kuwa CHADEMA inakufa ama itakufa!

CHADEMA ikifa CCM itapata faida gani na kwa nini kifo cha CHADEMA kinashabikiwa zaidi kuliko vyama vingine?
Hizo inaitwa wishful thinking
 
Back
Top Bottom