Kwa nini CCM kila wakati wanawaza kuwa CHADEMA itakufa!?

Nashangaa sana wanaosikitika chadema kutosaini maadili ni CCM na ndiyo wanaongea sana...utasikia...chadema itakufaa...sasa mmoja nikamuuliza Chadema ikifa wewe unapata hasara gani.....? Hamuoni ni faida kwenu..?😂

Kusikia hivyo akakasirika karibia anitukane
ccm akili zao ni kama huyu jamaa
img_2_1744640967648.jpg
 
Tangu mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa tena nchini, na tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi kufanyika mwaka 1995, sijaona chama kinachochukiwa na CCM kuliko CHADEMA.

Kitu pekee nisichoelewa, ni kwa nini CCM kila wakati husema hadharani kuwa CHADEMA inakufa ama itakufa!

CHADEMA ikifa CCM itapata faida gani na kwa nini kifo cha CHADEMA kinashabikiwa zaidi kuliko vyama vingine?
Kuliko vyama vingine vipi?
 
Heri wafe wao
 
Wanatamani cdm ife, maana ni chama wanachokipora ushindi kila uchaguzi, hivyo ni matamanio yao kife ili wapumue.
 
Tangu mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa tena nchini, na tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi kufanyika mwaka 1995, sijaona chama kinachochukiwa na CCM kuliko CHADEMA.

Kitu pekee nisichoelewa, ni kwa nini CCM kila wakati husema hadharani kuwa CHADEMA inakufa ama itakufa!

CHADEMA ikifa CCM itapata faida gani na kwa nini kifo cha CHADEMA kinashabikiwa zaidi kuliko vyama vingine?
Ilishakufa 2020😅😅
 
Ndiyo maana huwezi kusikia wanavisema vibaya vyama pandikizi vyote 17, wao ni CHADEMA pekee
 
Hizo ni kauli za kisiasa tu.Kwasababu ata wa chadema yako wanayoyasema kuhusu ccm na vyama vingine.Sidhani kama nikauli serious kwasababu kufa kwa chama cha siasa sio rahisi labda kife kwakufutwa au kukosekana kabisa kwa maono ya viongozi wake kitu ambacho sio rahisi.Kwasababu kua dormant kwa chama cha siasa sio kufa kwasababu siasa ya vyama vingi haiwezekani vyama vyote vikawa na nguvu sawa ya ushawishi na haiwezekani chama kukosa wafuasi kabisa.Kwahiyo labda wanazungumzia kufa kwachama kua dormant.
 
Back
Top Bottom