Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Lengo lao ni kuimaliza CHADEMA kwa kisingizio kuwa kuwa umma wa Watanzania unawakubali.Hawataki Rais aguswe,hawataki maslahi yao yaguswe.Mbowe alishtakiwa kwa ugaidi na sasa Lisu ni mhaini.Viva CCM.Tangu mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa tena nchini, na tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi kufanyika mwaka 1995, sijaona chama kinachochukiwa na CCM kuliko CHADEMA.
Kitu pekee nisichoelewa, ni kwa nini CCM kila wakati husema hadharani kuwa CHADEMA inakufa ama itakufa!
CHADEMA ikifa CCM itapata faida gani na kwa nini kifo cha CHADEMA kinashabikiwa zaidi kuliko vyama vingine?
Tangu mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa tena nchini, na tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi kufanyika mwaka 1995, sijaona chama kinachochukiwa na CCM kuliko CHADEMA.
Kitu pekee nisichoelewa, ni kwa nini CCM kila wakati husema hadharani kuwa CHADEMA inakufa ama itakufa!
CHADEMA ikifa CCM itapata faida gani na kwa nini kifo cha CHADEMA kinashabikiwa zaidi kuliko vyama vingine?
Ila Chadema mnawapenda sana CCM ndo mana mkampa tuzo mwenyekiti wao 🔥
Kweli Chadema ni mpango wa mungu
Waliotoa tuzo ni chama gnTofautisha CHADEMA na walamba asali
huenda ni kwasababu chadema imezongwa na roho ya mauti gentleman katika ulimwengu wa rohoTangu mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa tena nchini, na tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi kufanyika mwaka 1995, sijaona chama kinachochukiwa na CCM kuliko CHADEMA.
Kitu pekee nisichoelewa, ni kwa nini CCM kila wakati husema hadharani kuwa CHADEMA inakufa ama itakufa!
CHADEMA ikifa CCM itapata faida gani na kwa nini kifo cha CHADEMA kinashabikiwa zaidi kuliko vyama vingine?
Kama nyerere angejua kuna mpuuzi kama wewe naona asingejisumbua kudai uhuru.huenda ni kwasababu chadema imezongwa na roho ya mauti gentleman katika ulimwengu wa roho
Hao watu kuwepo ndani ya vyama vya upinzani si jambo la ajabu. Ni katika ku balance equation ya siasa . The same na wao ccm hata wao ndani mwao kuna......anywayMwaka 1994/5 AGUSTINO LYATONGA MREMA Alihama toka ccm kwenda NCCR. Mpaka wabeba mikoba yake walikuwa watu wa TISS.
TISS Wamejipenyeza kila mahali ndani ya vyama vya siasa.
TISS Wa TZ Ni wapuuzi sana
muerevu relax basi,Kama nyerere angejua kuna mpuuzi kama wewe naona asingejisumbua kudai uhuru.
View attachment 3304274
Waliotoa tuzo ni chama gn
Msingi wa Chadema ni vijana wa New generation ndio sababu haiwezi kufa
Never ever. Tone tone ipo active sana. Hakuna mtanzania atakubali chadema ifeTangu mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa tena nchini, na tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi kufanyika mwaka 1995, sijaona chama kinachochukiwa na CCM kuliko CHADEMA.
Kitu pekee nisichoelewa, ni kwa nini CCM kila wakati husema hadharani kuwa CHADEMA inakufa ama itakufa!
CHADEMA ikifa CCM itapata faida gani na kwa nini kifo cha CHADEMA kinashabikiwa zaidi kuliko vyama vingine?
Hizo inaitwa wishful thinkingTangu mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa tena nchini, na tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi kufanyika mwaka 1995, sijaona chama kinachochukiwa na CCM kuliko CHADEMA.