Kwa nini CCM kila wakati wanawaza kuwa CHADEMA itakufa!?

ccm akili zao ni kama huyu jamaa
 
Kuliko vyama vingine vipi?
 
Heri wafe wao
 
Wanatamani cdm ife, maana ni chama wanachokipora ushindi kila uchaguzi, hivyo ni matamanio yao kife ili wapumue.
 
Ilishakufa 2020😅😅
 
Ndiyo maana huwezi kusikia wanavisema vibaya vyama pandikizi vyote 17, wao ni CHADEMA pekee
 
Hizo ni kauli za kisiasa tu.Kwasababu ata wa chadema yako wanayoyasema kuhusu ccm na vyama vingine.Sidhani kama nikauli serious kwasababu kufa kwa chama cha siasa sio rahisi labda kife kwakufutwa au kukosekana kabisa kwa maono ya viongozi wake kitu ambacho sio rahisi.Kwasababu kua dormant kwa chama cha siasa sio kufa kwasababu siasa ya vyama vingi haiwezekani vyama vyote vikawa na nguvu sawa ya ushawishi na haiwezekani chama kukosa wafuasi kabisa.Kwahiyo labda wanazungumzia kufa kwachama kua dormant.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…