Jatropha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2009
- 1,151
- 200
binafsi nimeanza kuwabadiri vijana wanaonizunguka kuhachana na redio hii... Nina hakika nikiweza badiri watano nitakuwa nime'play my part'. Tuwaoneshe nguvu ya umma!!
hii ndio aina ya mapambano ya kistaarabu yanayoweza kuihakikishia chadema inadumisha wananchama na mashabiki ilionao leo na kuongeza wengine lukuki. Sio kuhamsiha mambo ya fujo, vurugu na umwagaji damu wakati hata hatujakaa mezani kujadili matatizo yaliyojitokeza. We have to exhaust all peaceful options kabla ya kukata tamaa.