Elections 2010 Kwa nini Clouds FM wanatisha wananchi?

Elections 2010 Kwa nini Clouds FM wanatisha wananchi?

binafsi nimeanza kuwabadiri vijana wanaonizunguka kuhachana na redio hii... Nina hakika nikiweza badiri watano nitakuwa nime'play my part'. Tuwaoneshe nguvu ya umma!!

hii ndio aina ya mapambano ya kistaarabu yanayoweza kuihakikishia chadema inadumisha wananchama na mashabiki ilionao leo na kuongeza wengine lukuki. Sio kuhamsiha mambo ya fujo, vurugu na umwagaji damu wakati hata hatujakaa mezani kujadili matatizo yaliyojitokeza. We have to exhaust all peaceful options kabla ya kukata tamaa.
 
kwa wanaojua anuani za washenzi hao wanaojipendekeza kwa ccm basi waziweke hadharani.mahali wanapoishi pamoja na familia zao ili mambo yakiharibika kwa ujinga wao basi tuanze nao.
Sasa hivi tumechoka kwani ndugu zetu huko vijijini wanapoteza maisha yao kwasababu ya umaskini wao unaosababisha washindwe kumudu gharama za matibabu pindi wanapougua.

kushindwa kusikiliza na kupokea maoni ya wengine ni dalili za udikteta, kama kikwete angekuwa hivyo nani kati yetu angekuwa hai? Ni lazima tujifunze kuvumiliana. Tanzania inaweza kuendelea kuwepo bila ccm, chadema n.k lakini vyma vya siasa haviwezi kuwepo bila tanzania. Hivyo jitihada zozote zinazolenga kuvuruga tanzania na watu wake hazikubaliki.

Hoja za kuuliza anwani za majumbani mwa watu ni kutaka kuonyesha kuwa sisi sote tunaoshiriki hapa ni wahuni kama wewe . Hii imenipatia hisia kuwa unaweza kuwa hata jamabzi.
 
Clouds FM inatangazia wananchi kwamba kuna watu wanahamasisha umwagaji damu. Kisha wanapiga wimbo wa taifa hovyo hovyo jambo ambalo mtu atadhani rais anataka kutangaza Hali ya hatari.

Clouds na CCM wanapotosha umma. Kwa nini CHADEMA wakilalamika na kutoa ushahidi wa wizi wa kura, Clouds na CCM wanatangazia watanzania kuhusu umwagaji damu? Kwa nini wasiambie tume ifute Uchaguzi tuanze upya ili tume isisababishe umwagaji damu? Kwa nini kila Uchaguzi Tume na ccm wanaiba kura halafu wanatuambia tukubali matokeo ili tusimwage damu?

Kwa nini CCM na tume wako tayari kumwaga damu kuliko kutenda haki?

Hakuna kura zozote zilizo ibiwa hizo ni dhana za washindwa tu kufikiria na kutumia akili zao. KURA ZINAIBWAJE, HEBU SEMA ?
 
duh kumbe bado mnaskiliza madudu ya cloud...me niliacha zamani mno.
 
Tunapoijadili CLOUDS tufahamu elimu zao na uwezo wao wa kujadili na kuelewa mambo, me nawaona kama watu wanaotafuta CHEAP POPULARITY na little previlddges, tukumbuke hawa walihusika kumuhujumu Mh mbunge Sugu na mradi wa MALARIA na kumuingiza KIkwete mkenge
 
Hakuna kura zozote zilizo ibiwa hizo ni dhana za washindwa tu kufikiria na kutumia akili zao. KURA ZINAIBWAJE, HEBU SEMA ?

Kwani unatokea wapi? angalia umri wako humu janvini
 
Size yao SUGU tuu
Ila hamtakiwi kushangaaaaaaaa bse ata Birthday party ya JK Clouds walihusika what do you expect?
 
Waache hao wapiga debe was Chama cha Mafisadi kwani nao walipata mtaji kupitia mafisadi hao hao
 
:evil:
Clouds FM inatangazia wananchi kwamba kuna watu wanahamasisha umwagaji damu. Kisha wanapiga wimbo wa taifa hovyo hovyo jambo ambalo mtu atadhani rais anataka kutangaza Hali ya hatari.

Clouds na CCM wanapotosha umma. Kwa nini CHADEMA wakilalamika na kutoa ushahidi wa wizi wa kura, Clouds na CCM wanatangazia watanzania kuhusu umwagaji damu? Kwa nini wasiambie tume ifute Uchaguzi tuanze upya ili tume isisababishe umwagaji damu? Kwa nini kila Uchaguzi Tume na ccm wanaiba kura halafu wanatuambia tukubali matokeo ili tusimwage damu?

wadau clouds wanajulikana kwa upumbavu wao si jana wala juzi na ni wavivu wa kufikiri na ni jumba la majungu na wote ni wa jinsia moja sidhani hata wastahili kujadili humu tuwaondoe katika ratiba za maisha yetu!

Kwa nini CCM na tume wako tayari kumwaga damu kuliko kutenda haki?
 
Acha bwana vijana walisha nunuliwa kwa pesa za kutosha na ccm na mafisadi kwa hiyo wanatekeleza agizo la mkuu wao kusaga kwani ndiye aliyepewa mgawo ili vijana wafanye kazi za siasa kwenye clouds......nasikia kati ya wote kibonde ndiye alipewa mgawo mkubwa...............

Ni umasikini tu hakuna cha mgawo mkubwa(with respect to what?.......) hatuwezi hata kuviita vijisenti hivyo. Lakini kunamtu anapata faida ya lakimoja akajiona ana tengeneza bonge la hela kuliko anaye tengeneza mamilioni kadhaa. Ni upeo tu na makuzi! Aliyekua hana uhakika wa mlo mmoja kwa siku leo anakula miwili anajiona amefika kuliko wa milo kadhaa na mboga saba.
 
Hivi wadau mbona mnakosea kiasi hicho, siamini bado mnasikiliza radio uhuru 2.
 
Mimi nashangaa hawa jamaa wanajiona wana usemi wa mwisho kwa haki za watu.. Haki ya mtu haipotea huwa inacheleweshwa tuu. Wanataka kutisha watu kwa nyimbo za Taifa! Mawazo ya kitoto sana.. Watu sasa hivi wameamka na hawatishiki katika kudai haki zao na ujinga ujinga wa one way communication kama ya Radio. Wamuite Slaa basi wamuhoji kwa nini anasema anavyosema na sio kusemea upande wanaotaka wao tuu.

Kwanza hao Clouds ndio wako mstari wa mbele kuleta hali ngumu kwa wasanii kwa kuchakachua kazi zao kwa kuuza nyimbo zao kiholela. Ukienda na elfu mbili tatu wanakutengenezea mix ya bongo fleva kwenye CD mwitu. Hivi tunategemea sasa hapo msanii atauza muziki na kupata kipato cha uhakika wakati akitoa wimbo tuu jamaa wanachakachua na unazagaa mitaani? Wanamuziki wa Tanzania wanafanywa masikini na kutegemea viingilio vya mlangoni na watu kama Clouds. Kazi yao kuchoma CD na kuziuza mitaani.
 
Kwanza, napenda kukiri kuwa sijawasikiliza Klaudz, hivyo kama kweli wanapiga wimbo wa Taifa, wanakiuka maadili ya Utangazaji! Mie nachofahamu ni kuwa wimbo wa Taifa haupigwi ovyo ovyo. Ni alama muhimu ya Taifa. wakati fulani ATC wakiwa na ushirika na kampuni ya makaburu iliyowaua, Walikuwa wanapiga Wimbo wa taifa kama tangazo la Biashara! Walikaripiwa. Tume ya Utangazaji, WAJIBIKENI KUWAWAJIBISHA klaudz FM! Hili ni kinyume na taratibu za utangazaji!
 
Clouds FM inatangazia wananchi kwamba kuna watu wanahamasisha umwagaji damu. Kisha wanapiga wimbo wa taifa hovyo hovyo jambo ambalo mtu atadhani rais anataka kutangaza Hali ya hatari.

Clouds na CCM wanapotosha umma. Kwa nini CHADEMA wakilalamika na kutoa ushahidi wa wizi wa kura, Clouds na CCM wanatangazia watanzania kuhusu umwagaji damu? Kwa nini wasiambie tume ifute Uchaguzi tuanze upya ili tume isisababishe umwagaji damu? Kwa nini kila Uchaguzi Tume na ccm wanaiba kura halafu wanatuambia tukubali matokeo ili tusimwage damu?

Kwa nini CCM na tume wako tayari kumwaga damu kuliko kutenda haki?
clouds hushajua wapo upande gan usiumize kichwa
 
shida yetu ni kufikiri hatuwezi ishi bila kusikiliza clouds....inawezekana kwa muda kabla alternative haijapatikana...binafsi naanza kuzoea kutosikiliza clouds na natumai ntaweza kuiacha kabisa kama vile niliweza kuacha kusoma Rai mara baada ya kutwaliwa na rostam mpaka Raia mwema ilipoanzishwa...nilikuwa bored kukosa cha kusoma lakini thanks to ulimwengu na wenzie walituletea mbadala...

tuanze sasa hiyo social boycott, tutafika tuu!!!!:A S angry:
 
Ukisusa unawapa nafasi ya KULA vizuri, dawa Ni ku wa Assassin hawa Wahuni kwanza hawana ulinzi wowote.
kumbe tupo wengi!! do the mats mkuu! hawana ulinzi hawa!
 
tatizo la kupeana ajira kwa kujuana ndo hilo!! kama wangeweka watu makini isingekuwa hivyo, wote ndo walewale kwenye interview wanasema:- "MSHAAALA WOWOTE TUU UNANIFAAA" Fooools
 
Back
Top Bottom