Kwa nini dinosaria(Dinasours) hawazungumziwi kabisa kwenye vitabu vya dini?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Mnyama wa urefu wa mita 13 na kimo mita 4 ni mkubwa sana na lazima awe jambo la kushangaza na gumzo kwa binadamu ila hawa wanyama hawatajwi kabisa kwenye vitabu vya dini!
Haya hapa ni mabaki ya T.Rex Dinasour ambao katika evolution wanasemwa ndio ndugu wa karibu zaidi wa kuku wa leo.
 
Biblia imeandikwa na watu, na kuna mazingira zaidi ambayo yametazwa kipindi watu hao wakiandika. Mfano maneno kama mizeituni, unga wa ngano, zabibu, mashekhe n.k vimetajwa sana sababu ndio vitu ambavyo vipo zaidi ktk Israel.

Waandishi wangekuwa wanaishi Tanzania basi yamkini maneno kama mipapai, maembe, togwa, ndizi, mamwinyi, chifu n.k vingesikika.

Ndo maana miaka ya karibuni kulikuwa na matakwa ya marekebisho ya Biblia ili kuendana na mazingira ya watu waosoma katika jamii zao ili wapate kufahamu zaidi.
 
Biblia ina chini ya miaka 2000 (kama ni kweli) hayo madude yalikuwepo mamilioni ya miaka yaliyopita archeologists wa miaka ya biblia hawakua na clue ya kusaka na kujua fossils za hao jamaa ili waunde stori zao pia
Amri 10 ziliandikwa mwaka gan??
 
Ila mkuu kutuambia hao jamaa ndio ndugu wa karibu na kuku wa leo hapo ni kutuingiza mjini kabisa, kuku gani anafanana hivyo? haya madinosaur hasa huyo uliyeweka skeleton yake si predator kabisa huyo, kwahyo kuku wetu walikuwa na uwezo wa kumtimua mfugaji wakamla mchana kweupe?.

Yoda
 
Sheikh kwenye biblia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…