The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,147
- 20,080
Hata fisi hajazungumziwa kwenye dini.
Nani aliumba hayo maji mpaka Mungu akaja kutenganisha hayo maji na ardhi?Dinosaurs walikuwepo kabla ya Adam na Hawa au kabla ya binadamu sisi kuwepo na bahati nzuri kuna shahidi nyingi ku prove kwenye dini hiyo kitu haipo.##Unasema walikuwepo kabla ya Adam na Hawa kivipi wakati dunia yote ilikuwa na maji na Mungu ndio alitenganisha maji na ardhi,then akaumba viumbe wote waliofuatia.(Mwanzo 1:9)...?
Dinasours walikuwepo hata kabla ya uwepo wa binadamu