Nimesoma comment za wengi ili nipate cha na mimi kufafanua.
Ukisoma vizuri Biblia kuanzia Adam hadi kutokea YESU na baada ya YESU hadi sasa ongeza miaka takribani 2000 utapata jibu kwamba umri wa Binadamu ni miaka 6000 au juu kidogo.
YESU toka asulubiwe na kufa MUNGU aliona amemtumia masihi wake ngoja nitume mwingine ikapita miaka 570 ndio Mtume MUHAMAD akazaliwa.
Mwaka wa kwanza wa kislam ni sawa na mwaka wa Gregory 622 AD. Kwa maana hiyo basi kwa wa kislam kwa sasa ni mwaka AH 1445.Mwaka huo wa kwanza wa Hijri ni ambapo mtume Muhamad na wafuasi wake walisafiri kutoka mji wa Mecca kwenda Medina na njiani walipata matatizo na manyanyaso mwakubwa.Ukitaka kujua chochote kutofautisha mwaka wa Gregory na mwaka wa kislam. kwa kisio la karibu karibu chukua mwaka mfano huu wa 2025 toa 570 mwaka mtume aliozaliwa utapata jibu kubwa mwaka huu ni mwaka 1455.Unaona kunakuwa na mkanganyiko kidogo? kwanini basi jibu lisiwe mwaka AH1445 kama ulivyo mwaka wa kislam wa sasa?.
Jibu ni kwamba kalenda ya kislam inatumia kitu kinaitwa Lunar year yaani wao hawatumia Solar year yaani mwaka unaotegemea mzunguko wa mwezi.Lunar year ina upungufu wa siku 11 kulinganisha na mwaka wa Solar ndio maana hizi tofauti zinakuwepo.
Sasa tuachane na Dini.Hao mamijusi walitoweka duniani miaka milioni 68 iliyopita hivyo sio rahisi historia yao kuonekana either kwenye quran au biblia au hata kwenye imani za dini zingine mfano Hindu ambapo ina umri wa miaka3000 zaidi kidogo.
Kumbukeni vitabu vya dini viliindikwa na binadamu hasa biblia ila quran yenyewe inaaminika ilishushwa toka kwa mungu ndio Mtume alikaririshwa ikaandikwa ila pia muelewe ukishakuwa muandishi wa habari ukaambiwa kitu kuna mahali unaweza pitiwa ukaongezea vya kwako either makusudi au bila kujua.
Ukichunguza vitabu vya dini za ibrahim yaani ukristo na uislam kuna maneno mzeituni,mzabibu,ngamia,manemane n.k yapo sababu ndio vilivyokuwepo huko wakati huo ingetokea Africa au Tanzania si ajabu tungesikia mifenesi,parachichi n.k.
Kwa kumalizia ni kwamba Dini msingi wake ni kuamini na sayansi msingi wake ni facts tofauti ndio iko hapo unapoamua kuegemea sehemu utofautishe mihimili hii miwili.
Dinosaurs walikuwepo kabla ya Adam na Hawa au kabla ya binadamu sisi kuwepo na bahati nzuri kuna shahidi nyingi ku prove kwenye dini hiyo kitu haipo.
Ndio maana kuna msemo ya Kaisari mpo Kaisari ya MUNGU mpe MUNGU
Wazungu wamekudanganya sana wewe umeingiwa na kasumba na walitumia huo ukrsto wako kukutawala kiakili na ndio sasa wanaowashawishi kuwa na mke zaidi ya mmoja ni dhambi lakini ndoa za jinsia moja ni halali tumia akili sawa sawaUmedanganya. Mungu hana uhusiano na Allah. Muhamad hatambuliki kwa wakristo hata kidogo hata kuwa msaidizi wa nabii au mtume. Muhamad ni muhamad tu aliyekuwa na makando kando yake mengi sana kuitwa nabii au mtume. Ila kwa waislamu anawafaa mtumieni huyo
Unajua kuwa yesu pia alisoma biblia?Biblia ina chini ya miaka 2000 (kama ni kweli) hayo madude yalikuwepo mamilioni ya miaka yaliyopita archeologists wa miaka ya biblia hawakua na clue ya kusaka na kujua fossils za hao jamaa ili waunde stori zao pia
Wazungu wamekudanganya sana wewe umeingiwa na kasumba na walitumia huo ukrsto wako kukutawala kiakili na ndio sasa wanaowashawishi kuwa na mke zaidi ya mmoja ni dhambi lakini ndoa za jinsia moja ni halali tumia akili sawa sawa
Dinosaurs walikuwepo kabla ya Adam na Hawa au kabla ya binadamu sisi kuwepo na bahati nzuri kuna shahidi nyingi ku prove kwenye dini hiyo kitu haipo.##Unasema walikuwepo kabla ya Adam na Hawa kivipi wakati dunia yote ilikuwa na maji na Mungu ndio alitenganisha maji na ardhi,then akaumba viumbe wote waliofuatia.(Mwanzo 1:9)...?Nimesoma comment za wengi ili nipate cha na mimi kufafanua.
Ukisoma vizuri Biblia kuanzia Adam hadi kutokea YESU na baada ya YESU hadi sasa ongeza miaka takribani 2000 utapata jibu kwamba umri wa Binadamu ni miaka 6000 au juu kidogo.
YESU toka asulubiwe na kufa MUNGU aliona amemtumia masihi wake ngoja nitume mwingine ikapita miaka 570 ndio Mtume MUHAMAD akazaliwa.
Mwaka wa kwanza wa kislam ni sawa na mwaka wa Gregory 622 AD. Kwa maana hiyo basi kwa wa kislam kwa sasa ni mwaka AH 1445.Mwaka huo wa kwanza wa Hijri ni ambapo mtume Muhamad na wafuasi wake walisafiri kutoka mji wa Mecca kwenda Medina na njiani walipata matatizo na manyanyaso mwakubwa.Ukitaka kujua chochote kutofautisha mwaka wa Gregory na mwaka wa kislam. kwa kisio la karibu karibu chukua mwaka mfano huu wa 2025 toa 570 mwaka mtume aliozaliwa utapata jibu kubwa mwaka huu ni mwaka 1455.Unaona kunakuwa na mkanganyiko kidogo? kwanini basi jibu lisiwe mwaka AH1445 kama ulivyo mwaka wa kislam wa sasa?.
Jibu ni kwamba kalenda ya kislam inatumia kitu kinaitwa Lunar year yaani wao hawatumia Solar year yaani mwaka unaotegemea mzunguko wa mwezi.Lunar year ina upungufu wa siku 11 kulinganisha na mwaka wa Solar ndio maana hizi tofauti zinakuwepo.
Sasa tuachane na Dini.Hao mamijusi walitoweka duniani miaka milioni 68 iliyopita hivyo sio rahisi historia yao kuonekana either kwenye quran au biblia au hata kwenye imani za dini zingine mfano Hindu ambapo ina umri wa miaka3000 zaidi kidogo.
Kumbukeni vitabu vya dini viliindikwa na binadamu hasa biblia ila quran yenyewe inaaminika ilishushwa toka kwa mungu ndio Mtume alikaririshwa ikaandikwa ila pia muelewe ukishakuwa muandishi wa habari ukaambiwa kitu kuna mahali unaweza pitiwa ukaongezea vya kwako either makusudi au bila kujua.
Ukichunguza vitabu vya dini za ibrahim yaani ukristo na uislam kuna maneno mzeituni,mzabibu,ngamia,manemane n.k yapo sababu ndio vilivyokuwepo huko wakati huo ingetokea Africa au Tanzania si ajabu tungesikia mifenesi,parachichi n.k.
Kwa kumalizia ni kwamba Dini msingi wake ni kuamini na sayansi msingi wake ni facts tofauti ndio iko hapo unapoamua kuegemea sehemu utofautishe mihimili hii miwili.
Dinosaurs walikuwepo kabla ya Adam na Hawa au kabla ya binadamu sisi kuwepo na bahati nzuri kuna shahidi nyingi ku prove kwenye dini hiyo kitu haipo.
Ndio maana kuna msemo ya Kaisari mpo Kaisari ya MUNGU mpe MUNGU
Ndio maana nikasema usichanganye dini na sayansi utachanganyikiwaDinosaurs walikuwepo kabla ya Adam na Hawa au kabla ya binadamu sisi kuwepo na bahati nzuri kuna shahidi nyingi ku prove kwenye dini hiyo kitu haipo.##Unasema walikuwepo kabla ya Adam na Hawa kivipi wakati dunia yote ilikuwa na maji na Mungu ndio alitenganisha maji na ardhi,then akaumba viumbe wote waliofuatia.(Mwanzo 1:9)...?
Stories anyway...Unajua kuwa yesu pia alisoma biblia?
Unajua pia biblia inaongelea pia mwanzo kabisa kabla dunia haijawepo?