Dinosaurs walikuwepo kabla ya Adam na Hawa au kabla ya binadamu sisi kuwepo na bahati nzuri kuna shahidi nyingi ku prove kwenye dini hiyo kitu haipo.##Unasema walikuwepo kabla ya Adam na Hawa kivipi wakati dunia yote ilikuwa na maji na Mungu ndio alitenganisha maji na ardhi,then akaumba viumbe wote waliofuatia.(Mwanzo 1:9)...?