Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Hizo nawaonaga magabachori wengi wakiendesha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 Nime tamka kwa sauti Hilo jina nime mtemea mtu matetunaogopa jina mkuu,limekaa kichina sana,kutamka tu shida...
Point ya kufungulia mwakaWa bongo tumekalilishwa magari hamna cha utaalamu wowote eti Toyota ndo gari peke, unakuta mtu ana kipato cha 10m kwa mwezi ila anaedesha ist eti spare bei chini.....limbukeni wa magari, mimi hapa naendesha chovelete huu ni mwaka wa tatu sijaenda kununua kipuri chochote zaidi ya service ya kawaida hata unywaji wake wa mafuta sioni tofauti yake na vi baby walker vyenu
Unatoa gari Japan, inafika bongo unaaza kufanya vimodification vya ajabu ajabu kwenye wiring, gari litaacha kuungua..?Ni gari mpoja mbovu sana kuna mdau mmoja huko Bongo iliungua bila hata sababu ya msingi barabarani tu mchana kweupeeeee, kwa wanaojua magari msijaribu. Magari ya kibongo ni TOYOTA tu utakuja kunishukuru baadaye , Thank you.
"Chovelete" ndio gari gani Mkuu, picha pls!Wa bongo tumekalilishwa magari hamna cha utaalamu wowote eti Toyota ndo gari peke, unakuta mtu ana kipato cha 10m kwa mwezi ila anaedesha ist eti spare bei chini.....limbukeni wa magari, mimi hapa naendesha chovelete huu ni mwaka wa tatu sijaenda kununua kipuri chochote zaidi ya service ya kawaida hata unywaji wake wa mafuta sioni tofauti yake na vi baby walker vyenu
umecoment kwa dharau sana,ila umenifurahisha ulivyotaja,,bambalaga,,nikakumbuka kiwanja kimoja hapo ,,dom,,matata sana,nilifika kipindi flani nina kazi chamwino..pako poa sana...Sio jina. Tumia akili kubwa kuwaza zaidi alichokisema mdau.
Anamaanisha kuwa
1. Kanunua hilo gari.
2. Anataka tumjuze kuhusu spare na ulaji wa mafuta.
3. Anaturingishia sisi na vibaby walker zetu jamii ya brevis,crown athlete, probox, alphard n.k
4. Anatuhamasisha tununue gari za kiume kiumeni.
Kijana waza nje ya box tafadhali.
Sogea hapo Bambalaga uone vibwenga vya ubishoo.
umecoment kwa dharau sana,ila umenifurahisha ulivyotaja,,bambalaga,,nikakumbuka kiwanja kimoja hapo ,,dom,,matata sana,nilifika kipindi flani nina kazi chamwino..pako poa sana...Sio jina. Tumia akili kubwa kuwaza zaidi alichokisema mdau.
Anamaanisha kuwa
1. Kanunua hilo gari.
2. Anataka tumjuze kuhusu spare na ulaji wa mafuta.
3. Anaturingishia sisi na vibaby walker zetu jamii ya brevis,crown athlete, probox, alphard n.k
4. Anatuhamasisha tununue gari za kiume kiumeni.
Kijana waza nje ya box tafadhali.
Sogea hapo Bambalaga uone vibwenga vya ubishoo.
Kwashkai😂😂😂 Nime tamka kwa sauti Hilo jina nime mtemea mtu mate
umecoment kwa dharau sana,ila [emoji1][emoji1][emoji1]. KIWANJA KIPI HICHO??? [emoji1][emoji1][emoji1]umecoment kwa dharau sana,ila umenifurahisha ulivyotaja,,bambalaga,,nikakumbuka kiwanja kimoja hapo ,,dom,,matata sana,nilifika kipindi flani nina kazi chamwino..pako poa sana...
kwa mwandiko huu humiliki hata bajaji wwe chovelete ndio nini sasa, msijiingize kwenye mijadala ambayo hamna uwezo nayo wanaokushauri ni watu experienced kwenye hilo eneo, umeshaambiwa magari hayo delicate na spare ghali kwa maisha yenu ya mlo mmoja unajifanya wakishua eti chovelete mxiiiiuuuuuuuuuuuu hujui hata inaitwaje hiyo gari. Wenye akili wananielewaWa bongo tumekalilishwa magari hamna cha utaalamu wowote eti Toyota ndo gari peke, unakuta mtu ana kipato cha 10m kwa mwezi ila anaedesha ist eti spare bei chini.....limbukeni wa magari, mimi hapa naendesha chovelete huu ni mwaka wa tatu sijaenda kununua kipuri chochote zaidi ya service ya kawaida hata unywaji wake wa mafuta sioni tofauti yake na vi baby walker vyenu
usilolijua ni kwamba Tanzania tunafuata mkumbo, yaan dealers wakileta DUARIS bas raia wengi watayapapalikia, wakileta IST bas kila mtu atatamani ilo. wengi watasema spare mara fuel consumption.Kiukweli katika fuatilia yangu ya magari. Gari za Nissan Maarufu ni Morano, Dualis, X- trail, Nissan Patrol, Juke, na manufacture wengine kama Subaru, Toyota na kadhalika...
🤣🤣🤣🤣Chovelete Mkuukwa mwandiko huu humiliki hata bajaji wwe chovelete ndio nini sasa, msijiingize kwenye mijadala ambayo hamna uwezo nayo wanaokushauri ni watu experienced kwenye hilo eneo, umeshaambiwa magari hayo delicate na spare ghali kwa maisha yenu ya mlo mmoja unajifanya wakishua eti chovelete mxiiiiuuuuuuuuuuuu hujui hata inaitwaje hiyo gari. Wenye akili wananielewa
Dualis ni maarufu but qashqai sio maarufu.Dualis sio maarufu hapa kwetu ( Tanzania ) ?
Yes hilo jina ndio sio maarufu but pia kuna utofauti mfano size ya gari even speed pale. Qashqai zipo mpaka 240km/h dualis mwisho 180Ni gari moja mzee , tofauti ni majina tuu
Almost the same car,Yes hilo jina ndio sio maarufu but pia kuna utofauti mfano size ya gari even speed pale. Qashqai zipo mpaka 240km/h dualis mwisho 180
New model kabsa halafu gari ya 2008Almost the same car,
Qashqai ni toleo maalumu kwa soko la ulaya na america..
Dualis ni kwa ajili ya soko la Japan...
Wenzetu wakishayachoka huko, sisi tunanunua huko Beforward kama mtumba, ikitua bongo tunasema mpya..[emoji2960]