Kwa nini Gari za Nissan Qashqai siyo maarufu sana Tanzania?

Kwa nini Gari za Nissan Qashqai siyo maarufu sana Tanzania?

Wa bongo tumekalilishwa magari hamna cha utaalamu wowote eti Toyota ndo gari peke, unakuta mtu ana kipato cha 10m kwa mwezi ila anaedesha ist eti spare bei chini, limbukeni wa magari, mimi hapa naendesha chovelete huu ni mwaka wa tatu sijaenda kununua kipuri chochote zaidi ya service ya kawaida hata unywaji wake wa mafuta sioni tofauti yake na vi baby walker vyenu
Nakupongeza kwa kuwa na CHEVROLETTE
 
Sio jina. Tumia akili kubwa kuwaza zaidi alichokisema mdau.

Anamaanisha kuwa
1. Kanunua hilo gari.
2. Anataka tumjuze kuhusu spare na ulaji wa mafuta.
3. Anaturingishia sisi na vibaby walker zetu jamii ya brevis,crown athlete, probox, alphard n.k
4. Anatuhamasisha tununue gari za kiume kiumeni.

Kijana waza nje ya box tafadhali.

Sogea hapo Bambalaga uone vibwenga vya ubishoo.
Bambalaga-Dodoma?
 
Jamani ni hiviiii, Qashqai sio Brand kwa Bongo, Msiwe na vichwa vigumu nina examples tatu za jamaa zangu wanalia hadi leo wanaomba tuwatafutie magari huku tunakobeba boksi, Ukishupaza shingo nunua utakuja kunishukuru baadaye, narudia TOYOTA for Tanzania.
Bongo gari yoyote tunaendesha acha mambo zako...Ford Ranger,Nissan Navara,Isuzu,Benz,Land rover tunazunguka humo kwa matoleo ya karibuni wala hakuna tatizo lolote..
 
Unatoa gari Japan, inafika bongo unaaza kufanya vimodification vya ajabu ajabu kwenye wiring, gari litaacha kuungua..?

Mtu anakatakata wiring ya gari sijui anaunga vimziki na vitaa taa vya kichina, gari litaacha kuungua...?

Hizi hapa ni baadhi ya brands za Toyota zinateketea kwa moto...

Suala la gari kuungua kuna sababu nyingi sana..
So gari lolote linaweza kuungua muda wowote..

View attachment 2142551View attachment 2142552View attachment 2142553View attachment 2142556
Dah mwamba umejua kumsawazisha mdau nadhani akisoma hii comment atajua hajui lolote kuhusu magari. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Big up sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli katika fuatilia yangu ya magari. Gari za Nissan Maarufu ni Morano, Dualis, X- trail, Nissan Patrol, Juke, na manufacture wengine kama Subaru, Toyota na kadhalika.

Gari za Nissan Qashqai ni nzuri sana kimuomekano na ulaji wa mafuta. Na nimefuatilia hata engine zake nyingi ni 1000+ mpaka 2000.
Kitu ambacho kinafanana na gari nyingi zilizo maarufu. Lakini hizi gari siyo maarufu kabisa.

Sasa nilikuwa najichanga changa ninunue gari hii (Qashqai) ambapo nimejaribu kufuatilia bei zake ni around 25M Mpaka 35M.

Ila ninaingiwa na hofu na mashaka kuhusu mambo makuu yafuatayo.
1. Kwa nini gari hizi siyo nyingi Tz?
2. yaweza kuwa spare zake ni ghali sana kiasi ikizingua utajikuta unapaki.
3. Au siyo imara kama zingine?
4. Spare zake haziingiliani na dualis? (Japo niliambiwa qashqai ni upgrade ya dualis)
5. Au ni vimeo huenda details ninazoziona siyo sahihi?

MSAADA TAFADHALI.


View attachment 2141197
Qashqai = Dualis
 
Back
Top Bottom