Kwa nini Gari za Nissan Qashqai siyo maarufu sana Tanzania?

Point ya kufungulia mwaka
 
Ni gari mpoja mbovu sana kuna mdau mmoja huko Bongo iliungua bila hata sababu ya msingi barabarani tu mchana kweupeeeee, kwa wanaojua magari msijaribu. Magari ya kibongo ni TOYOTA tu utakuja kunishukuru baadaye , Thank you.
Unatoa gari Japan, inafika bongo unaaza kufanya vimodification vya ajabu ajabu kwenye wiring, gari litaacha kuungua..?

Mtu anakatakata wiring ya gari sijui anaunga vimziki na vitaa taa vya kichina, gari litaacha kuungua...?

Hizi hapa ni baadhi ya brands za Toyota zinateketea kwa moto...

Suala la gari kuungua kuna sababu nyingi sana..
So gari lolote linaweza kuungua muda wowote..

 
"Chovelete" ndio gari gani Mkuu, picha pls!
 
umecoment kwa dharau sana,ila umenifurahisha ulivyotaja,,bambalaga,,nikakumbuka kiwanja kimoja hapo ,,dom,,matata sana,nilifika kipindi flani nina kazi chamwino..pako poa sana...
 
umecoment kwa dharau sana,ila umenifurahisha ulivyotaja,,bambalaga,,nikakumbuka kiwanja kimoja hapo ,,dom,,matata sana,nilifika kipindi flani nina kazi chamwino..pako poa sana...
 
kwa mwandiko huu humiliki hata bajaji wwe chovelete ndio nini sasa, msijiingize kwenye mijadala ambayo hamna uwezo nayo wanaokushauri ni watu experienced kwenye hilo eneo, umeshaambiwa magari hayo delicate na spare ghali kwa maisha yenu ya mlo mmoja unajifanya wakishua eti chovelete mxiiiiuuuuuuuuuuuu hujui hata inaitwaje hiyo gari. Wenye akili wananielewa
 
Kiukweli katika fuatilia yangu ya magari. Gari za Nissan Maarufu ni Morano, Dualis, X- trail, Nissan Patrol, Juke, na manufacture wengine kama Subaru, Toyota na kadhalika...
usilolijua ni kwamba Tanzania tunafuata mkumbo, yaan dealers wakileta DUARIS bas raia wengi watayapapalikia, wakileta IST bas kila mtu atatamani ilo. wengi watasema spare mara fuel consumption.
 
🤣🤣🤣🤣Chovelete Mkuu
 
Dualis sio maarufu hapa kwetu ( Tanzania ) ?
 
Ni gari moja mzee , tofauti ni majina tuu
 
Yes hilo jina ndio sio maarufu but pia kuna utofauti mfano size ya gari even speed pale. Qashqai zipo mpaka 240km/h dualis mwisho 180
Almost the same car,
Qashqai ni toleo maalumu kwa soko la ulaya na america..
Dualis ni kwa ajili ya soko la Japan...

Wenzetu wakishayachoka huko, sisi tunanunua huko Beforward kama mtumba, ikitua bongo tunasema mpya..[emoji2960]
 
Almost the same car,
Qashqai ni toleo maalumu kwa soko la ulaya na america..
Dualis ni kwa ajili ya soko la Japan...

Wenzetu wakishayachoka huko, sisi tunanunua huko Beforward kama mtumba, ikitua bongo tunasema mpya..[emoji2960]
New model kabsa halafu gari ya 2008
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…