Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
1. Saddam Hussein
2. Osama Bin Laden
3. Muamar Ghadafi
Hawa watu walikuwa na ushawishi mkubwa sana kwa watoto wadogo, watu wazima na wanawake. Wakiwashawishi wajitoe mhanga. Wafe kwa ajili yao
Nlitegemea wao wangeonesha mfano kuliko wale wawili kukubali kukamatwa au kuuawa na makafiri na huyu mmoja kuuawa na watu wake mwenyewe akiwa amejificha kwenye mtaro.
Nlidhani wangeonesha mfano wa kutotaka kufa kizembe. Wangejilipua wafe na makafiri waliokuwa wanawatafuta wawaue.
Mbona wao waliweza washawishi watoto wa maskini wajilipue. Ila walilinda watoto wao na wake zao wasiuawe? Kwa nini hawakutaka kuonesha mfano kwa kuanza kuwatoa mhanga familia zao au watoto wao? Ila kwa wengine waliwashawishi sana wajitoe mhanga? Je wao hawakupenda kwenda akhera ku enjoy?
Nimekuja gundua wanaotumika ni watoto wa maskini, wasio na akili au uwezo. Wanakuwa brain washed kisha wanatumika kwa malengo ya watu wengine.