Kwa nini hawa Watatu hawakujitoa Muhanga? Walikuwa wanapenda kuishi? Ila wenzao wafe?

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
1. Saddam Hussein
2. Osama Bin Laden
3. Muamar Ghadafi

Hawa watu walikuwa na ushawishi mkubwa sana kwa watoto wadogo, watu wazima na wanawake. Wakiwashawishi wajitoe mhanga. Wafe kwa ajili yao

Nlitegemea wao wangeonesha mfano kuliko wale wawili kukubali kukamatwa au kuuawa na makafiri na huyu mmoja kuuawa na watu wake mwenyewe akiwa amejificha kwenye mtaro.

Nlidhani wangeonesha mfano wa kutotaka kufa kizembe. Wangejilipua wafe na makafiri waliokuwa wanawatafuta wawaue.

Mbona wao waliweza washawishi watoto wa maskini wajilipue. Ila walilinda watoto wao na wake zao wasiuawe? Kwa nini hawakutaka kuonesha mfano kwa kuanza kuwatoa mhanga familia zao au watoto wao? Ila kwa wengine waliwashawishi sana wajitoe mhanga? Je wao hawakupenda kwenda akhera ku enjoy?

Nimekuja gundua wanaotumika ni watoto wa maskini, wasio na akili au uwezo. Wanakuwa brain washed kisha wanatumika kwa malengo ya watu wengine.
 
TAL ameonyesha kujitoa kama kunyongwa hadi kufa ili tuwe na nchi yenye utawala wa sheria!
 
Dada yangu vipi ? Unalinda lakini Mgongo wako ?
 
Uzuri jf kila lugha utakayotumia watu wa kuitafsiri wapo..
Mkuu hata huyo lissu ni mtoto wa kimaskini labda huko kihamisha familia.
 
Dada yangu vipi ? Unalinda lakini Mgongo wako ?
Mimi nmefanikiwa mdogo wangu. Wewe si ndo umeshaharibikiwa kabisa? Usijali sisi wa kale tunalinda. Wewe ndo basi tena Gen Z Ushaharibikiwa. Nafuata sana usia wako ili wote tusiwe kama wewe.
 
Kama huyo Sadam alidakwa kwenye kishimo kama panya
 
Mazuzu hua hayakosekani mfano bora humu jf kuna lucas na wenzake yale ukiyaambia yajiue yanaenda kujilipua . Maana akili zao hawazitumiii wanatumia za kwemye malinda yaliyotattuliwa.
 
Gafaff unamwonea. Kujiyoa mhanga hazikuwa mambo zake.
Alikuwa mtu wa hovyo. Anapigania umoja wa Afrika wakati huo huo kila mgogoro unaohusisha wanamgambo wa Kiislamu alikuwa na mkono wake.

Wakati wa vita vyetu na Uganda Amin amechachamaa anataka kuchukua Kagera Gaddafi alituma madege, vifaru, pesa na wanajeshi kisa tu Amin alikuwa mwislamu mwenzake. Sema hao wanajeshi hawakuwa na nidhamu wala stamina ya kupigana wako vitani huku wamelewa njwii.

Gadhafi alikuwa ndumilakuwili. Mwishowe akaishia kuuliwa kama panya bila zile pisi zake zilizokuwa zinamlinda. I say good riddance!
 
Pengine wanatupiaga majini wajilipuaji,mtu na akili zako kabisa ujiue kisa ukapate thawabu za kufikirika
 
Wanazokutuma ukapate thawabu wao hawazitaki hizo thawabu😂😂😂

Ni kama mganga anakwambia Fanya hivi Fanya vile upate utajiri wakati huo huo yeye amechoka maisha yamekuja na huo utajiri hana
 
Pengine wanatupiaga majini wajilipuaji,mtu na akili zako kabisa ujiue kisa ukapate thawabu za kufikirika
Ila pepo ya Waislamu inavutia sana aisee. Ukimsikiliza Sheikh Kipozeo au Sheikh Sule unaweza kusilimu immediately. Nina mpango wa kusilimu sema tu kikwazo ni huyu mbuzi wa Vatican maana kuacha kumtafuna ni mtihani 😂

20261009_071547.png
 
Mimi nmefanikiwa mdogo wangu. Wewe si ndo umeshaharibikiwa kabisa? Usijali sisi wa kale tunalinda. Wewe ndo basi tena Gen Z Ushaharibikiwa. Nafuata sana usia wako ili wote tusiwe kama wewe.
Sawa Mrs. Baraka umeeleweka.
 
Back
Top Bottom