Mjema Vushanje
Senior Member
- Sep 24, 2017
- 158
- 355
Idadi ya herufi e na a kwenye hiyo sentensi yako zimetofautianaje Kwa idadi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LolIrabu sio vowel
Irabu ndio kiswahili cha neno vowel.Mtumee!! Ko irabu ni nini?
Ni vowel ni zipi? Usipoteshe umma bwasheeIrabu ndio kiswahili cha neno vowel.
Irabu za kiswahili ni a,e,i,o,u...
Napotoshaje uma mzee kwani ukisema water na maji kitu si ni kile kile, yani unakuwa umepotosha nn hapo?Ni vowel ni zipi? Usipoteshe umma bwashee
Mimi sio mzee ni binti kigoli tuuNapotoshaje uma mzee kwani ukisema water na maji kitu si ni kile kile, yani unakuwa umepotosha nn hapo?
Ndo ushatumia hapoYani nitumei mda wangu kujadili e then?
Lugha gonganoMi naona herufi A inatumika zaidi.