Kwa nini herufi e inatumika sana kwenye sentensi kuliko herufi zingine?

Kwa nini herufi e inatumika sana kwenye sentensi kuliko herufi zingine?

Hili suala linatofautiana kutoka lugha moja hadi nyingine. Mfano kwenye kiingereza neno 'the' hutumika mara nyingi zaidi. Uchambuzi wa maandishi wa namna hii huweza kutumika kugundua maandishi ya siri (decode hidden messege/break code).
 
Kuwa Great Thinker Sio Kwamba IQ Yako Lazma I Focus Kwenye Mavitu Makubwaaa Aaah Hapana
" Matter Is The Smallest Particle" But Uki. discuss Utakesha Mkuu Uko Sahihi Acha Think Big About Letter E"
Efficiency
Election
Elder
Semina Elekezi
Mange
Wema
Mobeto
Nk.
 
Duh thread za miak ya 2011 ndo mnachangia Leo????



Dah nataman walokuwepo iyo miak2011 waje wakoment au kuquote vitu APA coz uhai ni mtam aisee
 
ukielewa maana ya vowels na consonants itakuwa rahisi kidogo kuelewa umuhimu wa e.
 
Back
Top Bottom