Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Bongo hakuna hizo generations. Ni ujinga tu kuiga iga generations za watu ambazo walizibuni kutokana na historia za mataifa au jamii yao.Una kipimo cha IQ?
Kama vizazi vya Baby boomers, Generation X, Millenials vingekuwa na IQ kubwa tusingekuwa hapa tulipo leo.
Miaka 65 ya uhuru nchi bado ni maskini ombaomba.
Na viongozi wengi ni Generation X na Millenials.
Sasa nani wenye IQ ndogo?
Nimetoa tu mfano. Iq ni ability to learn and understand. Inakuwaje uwe University alafu usijue kitu kidogo kama hicho?Sasa kutokujua IQ na kutokujua "Past tense" haviingiliani mkuu.
Mtu ana degree anashindwa kuandika barua ya kikazi ya Kiingereza na Kiswahili.
Wewe siku moja, pitia barua/emails za maombi ya kazi, utacheka na kusikitika sana.
We kenge nini?Imenilazimu nifikirie kwa IQ ya mtoa mada. IQ ipi ya mtoa mada?
Generations za Bongo ni zipi?Bongo hakuna hizo generations. Ni ujinga tu kuiga iga generations za watu ambazo walizibuni kutokana na historia za mataifa au jamii yao.
Hawa wazee ndio wameifikisha nchi hapa ilipo.Waacheni vijana waishi, nyie mlifanya nini wenye iq kubwa!
Mara watoto wa 2000 walevi,wavivu,wanatoa ndogo, leo tena iQ ndogo 😂😂
Uwezo wa mtu kupambanua mambo hautokani na "Generation" aliyozaliwa.Ni kweli. Ukitaka kujua ni matabulalasa angalia comments zao humu ambao kimsingi ina reflect uwezo wao wa kufikiria na kupambanua mambo.
umeongea na uchungu sana gen z. Mfukoni mwako jisachi kama una 20k jipigie makofi na kama huna jicheke afu ucoment maisha yasongeUna kipimo cha IQ?
Kama vizazi vya Baby boomers, Generation X, Millenials vingekuwa na IQ kubwa tusingekuwa hapa tulipo leo.
Miaka 65 ya uhuru nchi bado ni maskini ombaomba.
Na viongozi wengi ni Generation X na Millenials.
Sasa nani wenye IQ ndogo?
Muulize mzazi wako, wewe ni kizazi kipi?Generations za Bongo ni zipi?
Hebu tupe za kwako. Tuzione hapa.
Tangu mwanzoni mwaka 2000 tunasikia kizazi kipya kizazi kipya, ila bongo hakuna upya wowote.kizazi kipya