Kwa nini hiki kizazi cha Gen Z wana Iq ndogo?

Kwa nini hiki kizazi cha Gen Z wana Iq ndogo?

This generation is not the problem.

They are the product of what they were shown.

Na wazazi wa Gen Z ni Millenials na Generation X.
you mean we are the main source of their problems au. Mimi ni millenial nina magen z na english inapanda na ni primary. He can state anything using foreign languages kwa iyo sio wote. Hata wewe shulen kuna waliokuwa wanakuzid na unawazid au sio
 
Kuna trending videos za mtu anaitwa Dr. Jared Cooney Horvath, A teacher & Neuroscientist ambaye amespecialize in human learning and brain development amelizungumzia hili vizuri, msikilize hope utaelewa tatizo ninini na nini kimesababisha nini.


Bado siamini kuwa GenZ sio smart au wana low IQ nadhani mazingira yao ni rahisi sana hivyo ni ngumu kuwapima.

I stand to be corrected.
 
Siwezi kupinga kuwa kweli ni majasiri na hawaogopi

Lakini linapokuja kwenye suala la elimu ni hakuna kitu.

Mtu anamaliza form six na kujiunga na chuo kikuu alafu hawezi kujua hata past tense?
Gentleman,
nadhani ile ya muhimu zaidi ni kufanya kazi kwa bidii, bila kuchoka wala kukata tamaa na kuondokana na unyonge wa kiuchumi ambao ndio hufanya genZ wengi kubebwa ufala wa kifikra kirahisi na kua wafuata mkumbo tu, tena kindezi kweli,

past tense haina maana yoyote ikiwa utaendekeza uvivu na na tegemezi kwa wazazi hali ya kua umri umesonga hivyo 🐒
 
nadhani ile muhimu zaidi ni kufanya kazi kwa bidii na kuondokana na unyonge wa kiuchumi ambao ndio hufanya wengi wenu kua wafuata mkumbo tu,

past tense haina maana ikiwa ni mvivu na tegemezi kwa wazazi 🐒
Sawa sawa we fanya gentleman 😄

Ova
 
Hawa wazee ndio wameifikisha nchi hapa ilipo.

Yameiba kila kitu na kuhujumu uchumi.

Ndio maana nchi ina miaka 65 ya uhuru bado inanuka umaskini.

Mazee mengi yamejazana serikalini, hayataki kustaafu. Yana endelea kuiba tu!

Wala hayatosheki.

Haya mazee ndio IQ ndogo kabisa. Na ndio waharibifu wakubwa na wanyonyaji wa hii nchi.
Watu walio kunywa uji kwa jani la muembe wachache sana waamifu

Ufukara ukizidi unamjenga hofu isiyo na msingi
 
Siwezi kupinga kuwa kweli ni majasiri na hawaogopi

Lakini linapokuja kwenye suala la elimu ni hakuna kitu.

Mtu anamaliza form six na kujiunga na chuo kikuu alafu hawezi kujua hata past tense?
Hujakutana nao tu hakuna kizazi chenye IQ kubwa kama Gen Z sisi millennials hadi tunasurrender waulize waalimu wanakiona cha moto vinauliza maswali ambayo yana majibu tayari
 
Siwezi kupinga kuwa kweli ni majasiri na hawaogopi

Lakini linapokuja kwenye suala la elimu ni hakuna kitu.

Mtu anamaliza form six na kujiunga na chuo kikuu alafu hawezi kujua hata past tense?
Mh! Kwahiyo vijana wa zamani mfano wa middle school walijua past tense kwa kuzaliwa au kwa kufundishwa na walimu wazuri?

Je, akili ni kujua maarifa unayofundishwa mfano lugha kama ulivyotolea mfano au ni uwezo wa ku-argue?

Ishu ya kushindwa kujua past tense kwa Gen Z wahitimu ni matokeo ya walimu wabovu wa lugha na masomo mengine. Walimu wa sasa wapo bize na kusaka matonge yao tofauti na walimu wa zamani ambao waliwapambania watoto mpaka waelewe masomo!

Tembelea shule za sekondari za serikali mpaka vyuo vikuu walimu wanatumia Kiswahili kufundisha masomo ya Kiingereza. Hali ni mbaya sana!
 
Kizazi Bora kuwahi kuwepo Tanzania ni watu wa late 1980 na early 90 tu .



Ila 2000 big no na 1980 early big no 1970s mpaka 1940s wote Hawa ni wezi , mafisadi na Wana IQ ndogo sana.
 
Siwezi kupinga kuwa kweli ni majasiri na hawaogopi

Lakini linapokuja kwenye suala la elimu ni hakuna kitu.

Mtu anamaliza form six na kujiunga na chuo kikuu alafu hawezi kujua hata past tense?
Sasa na wewe kujua past tense ndiyo kuwa na IQ kubwa huko? Wacha hizo wewe!
 
Gentleman,
nadhani ile ya muhimu zaidi ni kufanya kazi kwa bidii, bila kuchoka wala kukata tamaa na kuondokana na unyonge wa kiuchumi ambao ndio hufanya genZ wengi kubebwa ufala wa kifikra kirahisi na kua wafuata mkumbo tu, tena kindezi kweli,

past tense haina maana yoyote ikiwa utaendekeza uvivu na na tegemezi kwa wazazi hali ya kua umri umesonga hivyo 🐒
Wewe utakuwa Millenials.

Una njaa kali sana Gentleman ndio maana umegeuka chawa wa CCM angalau upate chochote kitu.
 
Wewe utakuwa Millenials.

Una njaa kali sana Gentleman ndio maana umegeuka chawa wa CCM angalau upate chochote kitu.
gentleman,
mimi sijali kua popote but bidii katika kufanya kazi ni kitu muhimu zaidi badala ya ya kubebwa ufala wa kifikra na kufuta mkumbo na kuangamia kilofa lofa tu,

hiyo ni genZ useless kabisa gentleman 🐒
 
umeongea na uchungu sana gen z. Mfukoni mwako jisachi kama una 20k jipigie makofi na kama huna jicheke afu ucoment maisha yasonge
This kind of fallacy is called ad hominem.

Umeshindwa kujibu hoja, unamshambulia mleta hoja.
 
gentleman,
mimi sijali kua popote but bidii katika kufanya kazi ni kitu muhimu zaidi badala ya ya kubebwa ufala wa kifikra na kufuta mkumbo na kuangamia kilofa lofa tu,

hiyo ni genZ useless kabisa gentleman 🐒
Wewe ndio unabebwa ufala na Viongozi wako wa CCM.

Umegeuka chawa ili ule.

Umekosa kazi ndio maana umekuwa chawa.
 
Back
Top Bottom