Kwa nini hiki kizazi cha Gen Z wana Iq ndogo?

Kwa nini hiki kizazi cha Gen Z wana Iq ndogo?

Una kipimo cha IQ?

Kama vizazi vya Baby boomers, Generation X, Millenials vingekuwa na IQ kubwa tusingekuwa hapa tulipo leo.

Miaka 65 ya uhuru nchi bado ni maskini ombaomba.

Na viongozi wengi ni Generation X na Millenials.

Sasa nani wenye IQ ndogo?
Kipimo ni pale Gen Z wanaposhindwa kututoa walipoishia wahenga na kutupeleka mbele na badala yake walipoishia wahenga Gen Z wanapachoma moto.
 
This kind of fallacy is called ad hominem.

Umeshindwa kujibu hoja, unamshambulia mleta hoja.
what do yo mean my friend? Kama wabunge wenyewe hawajui english na wapo bungeni why mtu aamke na gen z ati hawajui ebu soma the first reply then uje tuendelee
 
Sidhani, Mimi naona Kila siku zinavyozidi kwenda Binadamu anazidi kuwa na akili kubwa, GEN Z Wana akili kuliko generation iliyopita na wengine huko nyuma ni hivyo hivyo... Matokeo ya sasa katika Kila Nyanja ni mjumuisho wa utendaji kazi wa generation zinazofuatana, baada ya miaka ishirini hawa GEN Z watakuwa wameibadilisha dunia Kwa kuipeleka mbele, tukijaaliwa uzima tutaona Tu....

Kwa TZ kizazi chenye akili Kwa sasa ni hawa GEN Z, kizazi chetu cha nyuma hakuna kitu ni uharo mtupu vichwani, Hadi tumefika Hapa ni matokeo ya vizazi vyenye akili chenga tupu, Leo GEN Z ana Hadi uthubutu wa kusema "Kazi yako siitaki hainilipi tafuta mtu mwingine" anaondoka tena comfortable bila wasiwasi, sasa akili ya namna hii inahitaji kuwezeshwa kidogo Tu ili ifahamu jinsi ulimwengu unavyokwenda, hawa GEN Z hatutakiwi kuwajaza hofu Sana kuhusu maisha kama Sisi tulivyojazwa, GEN Z Wana uthubutu Sana, uthubutu wao upo kwenye mema na mabaya, hawaogopi kukosea na hawana hofu hiyo, wako open na wako tayari Ku move on muda wwte...

Hakuna kizazi chenye laana kama cha before GEN Z Hapa TZ, not proud at all, na ndio wanao wazibia mianya ya kutoboa GEN Z...Mm sitaki laana inipate.
 
Kwahiyo suluhisho ni kuvichoma moto?
Kuna sehemu nimesema suluhisho ni kuchoma moto?

Kwanza hizi habari za moto ni wewe umeleta.

Hakuna sehemu nimezungumza habari za moto na kuchoma moto.

Hebu soma na uelewe kilichoandikwa.
 
Its very crazy kwamba mtu akiwa hana akili hajioni yeye kama hana akili. Inashangaza sana. Wengi wanaojiona wana akili, huwa hawana akili mara nyingi. Naongelea experience kabisa
 
Sasa kutokujua IQ na kutokujua "Past tense" haviingiliani mkuu.
Mtu ana degree anashindwa kuandika barua ya kikazi ya Kiingereza na Kiswahili.
Wewe siku moja, pitia barua/emails za maombi ya kazi, utacheka na kusikitika sana.
Madogo wa gen z ni bure, kichwani hamna kitu, poorly educated,elimu biashara imewaumiza sana,ni generation ya hivyo,sijui itakuaje itakapokamata nafasi nyeti serikalini
Madogo weupe mno vichwani,no critical thinking,soft,hawaoni mbali, yaani shida tu
Hata kuandika kiswahili hayajui
 
Siwezi kupinga kuwa kweli ni majasiri na hawaogopi

Lakini linapokuja kwenye suala la elimu ni hakuna kitu.

Mtu anamaliza form six na kujiunga na chuo kikuu alafu hawezi kujua hata past tense?
Nafikir kuna namna hujafuatilia kwanini wako hivyo.
Ndivyo namna kizazi chak na waliokutangulia walivyowaandaa. Wengi wamenyimwa elimu bora na kutengenezewa mazingira ya kukulia shuleni.
Uanzishwaji wa shule za kata lukuki bila kuzingatia maandalizi sahihi ule mwaka 2006 (hamkutembea vilivyo katika Mpango Maendeleo wa Elimu ya Sekondari -MMES). na kisha kuja na lidudu la Big Results Now (BRN)..yaliaharibu kabisa mfumo wa elimu mzuri.
Ukiachilia mbali uharibifu wa Waziri wenu wa Elimu, Joseph Mungai, uko ule uharibifu mwingine wa Dr. Shukuru Kawambwa na kupanua vigezo vya ufaulu kuficha matokeo mabovu ya mabadiliko ya elimu waliyofanya.

Uelewa wao huo, ni matokeo ya kazi yenu mbovu. Dhambi yenu ya kuwanyima elimu bora.

Bado naamini ni kizazi chenye akili sana, ndiyo maana wachache waliobahatika kupata elimu bora wanafanya makubwa ukilinganisha na umri wao kiasi cha kwamba ninyi mnakazana kuwakandamiza.
 
Siwezi kupinga kuwa kweli ni majasiri na hawaogopi

Lakini linapokuja kwenye suala la elimu ni hakuna kitu.

Mtu anamaliza form six na kujiunga na chuo kikuu alafu hawezi kujua hata past tense?
Kadri unavyokwenda ni dhahiri kuwa karibuni utafuzu katika fani ya UPUMBAVU!

Unawalaumu wahanga badala ya wahusika waliosababisha hali hiyo?

Sasa kama umewaona hao; na hawa watakaofuata chini ya huyu mhalifu Samia Suluhu, hali itakuwaje?
Taifa linaangamizwa hivi hivi, huku wengine wamejaza kamasi vichani mwao wao kama unavyoonyesha mwenyewe!

Wewe kweli unayo akili humo ndani ya fuvu lako?
 
Madogo wa gen z ni bure, kichwani hamna kitu, poorly educated,elimu biashara imewaumiza sana,ni generation ya hivyo,sijui itakuaje itakapokamata nafasi nyeti serikalini
Madogo weupe mno vichwani,no critical thinking,soft,hawaoni mbali, yaani shida tu
Hata kuandika kiswahili hayajui
Hivi Samia Suluhu hassan naye ni wa 'generation' hiyo, maana yote uliyoeleza kuwahusu hao yeye yanamkaa vyema zaidi kuliko hata hao vijana!
Na hiki kizazi kinachoongozwa na akina Wahu, sijui Wanu; unajuwa nacho kitakuwaje?

Hasara hii kwa taifa hili itakuwa kubwa sana.; na itachukua miaka mingi kuirekebisha.

Ngoja nikuulize; na wewe ni kizazi kipi; ulikulia kwenye shule za Kikwete? Unazo dalili zote za ukihiyo kuhusu maswala ya elimu.
Nashangaa nawe unapata kundi la kuwadharau kuhusu ufinyu wa elimu waliyonayo!
 
Nyie wenye IQ kubwa mpo wapi? Mmefanya nini cha maana ilhali hii nchi bado ni shithole.
 
Uwezo wa mtu kupambanua mambo hautokani na "Generation" aliyozaliwa.

Kuna  vilaza wengi tu ni Generation X na Millenials.

Pia kuna Gen Z wengi tu ni smart upstairs.
You're all missing the point; that of the key ingredient in all of that.
LEADERSHIP.

You can have all the smart people in the nation; and we do have plenty of those; what is missing is the leadership with a vision to direct that smartness for the national good.

Namna tunavyokwenda kama taifa sasa hivi, pasipotokea mabadiliko katika uongozi miaka 60 ijayo hatutakuwa mbali sana na tulipo sasa, pengine even worse.

Kama unajuwa kidogo historia ya nchi kama Haiti, we won't be any different from them as they are today.
 
Kadri unavyokwenda ni dhahiri kuwa karibuni utafuzu katika fani ya UPUMBAVU!

Unawalaumu wahanga badala ya wahusika waliosababisha hali hiyo?

Sasa kama umewaona hao; na hawa watakaofuata chini ya huyu mhalifu Samia Suluhu, hali itakuwaje?
Taifa linaangamizwa hivi hivi, huku wengine wamejaza kamasi vichani mwao wao kama unavyoonyesha mwenyewe!

Wewe kweli unayo akili humo ndani ya fuvu lako?
Wewe ni mwehu? Hapa tuna hoja ya suala lingine kabisa. Habari ya Samuya na ufisadi wake au uonevu hauhusiki. Acha kutumia matako kufikiri
 
Back
Top Bottom