you mean we are the main source of their problems au. Mimi ni millenial nina magen z na english inapanda na ni primary. He can state anything using foreign languages kwa iyo sio wote. Hata wewe shulen kuna waliokuwa wanakuzid na unawazid au sioThis generation is not the problem.
They are the product of what they were shown.
Na wazazi wa Gen Z ni Millenials na Generation X.
Gentleman,Siwezi kupinga kuwa kweli ni majasiri na hawaogopi
Lakini linapokuja kwenye suala la elimu ni hakuna kitu.
Mtu anamaliza form six na kujiunga na chuo kikuu alafu hawezi kujua hata past tense?
Sawa sawa we fanya gentleman πnadhani ile muhimu zaidi ni kufanya kazi kwa bidii na kuondokana na unyonge wa kiuchumi ambao ndio hufanya wengi wenu kua wafuata mkumbo tu,
past tense haina maana ikiwa ni mvivu na tegemezi kwa wazazi π
kazi ni muhimu sana zaidi ya kujua past tense useless πSawa sawa we fanya gentleman π
Ova
Watu walio kunywa uji kwa jani la muembe wachache sana waamifuHawa wazee ndio wameifikisha nchi hapa ilipo.
Yameiba kila kitu na kuhujumu uchumi.
Ndio maana nchi ina miaka 65 ya uhuru bado inanuka umaskini.
Mazee mengi yamejazana serikalini, hayataki kustaafu. Yana endelea kuiba tu!
Wala hayatosheki.
Haya mazee ndio IQ ndogo kabisa. Na ndio waharibifu wakubwa na wanyonyaji wa hii nchi.
Hujakutana nao tu hakuna kizazi chenye IQ kubwa kama Gen Z sisi millennials hadi tunasurrender waulize waalimu wanakiona cha moto vinauliza maswali ambayo yana majibu tayariSiwezi kupinga kuwa kweli ni majasiri na hawaogopi
Lakini linapokuja kwenye suala la elimu ni hakuna kitu.
Mtu anamaliza form six na kujiunga na chuo kikuu alafu hawezi kujua hata past tense?
Predhent continyuaz tenth πImenilazimu nifikirie kwa IQ ya mtoa mada. IQ ipi ya mtoa mada?
Mh! Kwahiyo vijana wa zamani mfano wa middle school walijua past tense kwa kuzaliwa au kwa kufundishwa na walimu wazuri?Siwezi kupinga kuwa kweli ni majasiri na hawaogopi
Lakini linapokuja kwenye suala la elimu ni hakuna kitu.
Mtu anamaliza form six na kujiunga na chuo kikuu alafu hawezi kujua hata past tense?
Sasa na wewe kujua past tense ndiyo kuwa na IQ kubwa huko? Wacha hizo wewe!Siwezi kupinga kuwa kweli ni majasiri na hawaogopi
Lakini linapokuja kwenye suala la elimu ni hakuna kitu.
Mtu anamaliza form six na kujiunga na chuo kikuu alafu hawezi kujua hata past tense?
Wewe utakuwa Millenials.Gentleman,
nadhani ile ya muhimu zaidi ni kufanya kazi kwa bidii, bila kuchoka wala kukata tamaa na kuondokana na unyonge wa kiuchumi ambao ndio hufanya genZ wengi kubebwa ufala wa kifikra kirahisi na kua wafuata mkumbo tu, tena kindezi kweli,
past tense haina maana yoyote ikiwa utaendekeza uvivu na na tegemezi kwa wazazi hali ya kua umri umesonga hivyo π
gentleman,Wewe utakuwa Millenials.
Una njaa kali sana Gentleman ndio maana umegeuka chawa wa CCM angalau upate chochote kitu.
This kind of fallacy is called ad hominem.umeongea na uchungu sana gen z. Mfukoni mwako jisachi kama una 20k jipigie makofi na kama huna jicheke afu ucoment maisha yasonge
Wewe ndio unabebwa ufala na Viongozi wako wa CCM.gentleman,
mimi sijali kua popote but bidii katika kufanya kazi ni kitu muhimu zaidi badala ya ya kubebwa ufala wa kifikra na kufuta mkumbo na kuangamia kilofa lofa tu,
hiyo ni genZ useless kabisa gentleman π
calm down plz gentleman π€£Wewe ndio unabebwa ufala na Viongozi wako wa CCM.
Umegeuka chawa ili ule.
Umekosa kazi ndio maana umekuwa chawa.
Wewe si ndio lofa unabebwa ufala na ma CCM wenzako.calm down plz gentleman π€£
ulofa ni umaskini mbaya sana aise π€£
kuna maandano tena siku ya Eid usikose genZ, right π€£Wewe si ndio lofa unabebwa ufala na ma CCM wenzako.
Kutwa kucha mnasifia ujinga tu.
Ili mpate kula yenu.