Nyani wa Somanga
JF-Expert Member
- Jan 21, 2026
- 415
- 573
Kipimo ni pale Gen Z wanaposhindwa kututoa walipoishia wahenga na kutupeleka mbele na badala yake walipoishia wahenga Gen Z wanapachoma moto.Una kipimo cha IQ?
Kama vizazi vya Baby boomers, Generation X, Millenials vingekuwa na IQ kubwa tusingekuwa hapa tulipo leo.
Miaka 65 ya uhuru nchi bado ni maskini ombaomba.
Na viongozi wengi ni Generation X na Millenials.
Sasa nani wenye IQ ndogo?
maandano❌️kuna maandano tena siku ya Eid usikose genZ, right 🤣
Viongozi ni Gen Z?Kipimo ni pale Gen Z wanaposhindwa kututoa walipoishia wahenga na kutupeleka mbele na badala yake walipoishia wahenga Gen Z wanapachoma moto.
what do yo mean my friend? Kama wabunge wenyewe hawajui english na wapo bungeni why mtu aamke na gen z ati hawajui ebu soma the first reply then uje tuendeleeThis kind of fallacy is called ad hominem.
Umeshindwa kujibu hoja, unamshambulia mleta hoja.
Watakuwaje Gen Z wakati wao hawakuwepo, lkn kwavile Sasa wapo walitakiwa waviendeleze vilivyopo na sio kuvichoma moto.Viongozi ni Gen Z?
Walioifikisha nchi kwenye huu umaskini ni Gen Z?
well done,maandano❌️
Maandamano✅️
Wewe hata kuandika hujui Gentleman.
Wewe baki na uchawa wako tu.
Uviendeleze kwa sera mbovu na ukosefu wa haki?Watakuwaje Gen Z wakati wao hawakuwepo, lkn kwavile Sasa wapo walitakiwa waviendeleze vilivyopo na sio kuvichoma moto.
Kwahiyo suluhisho ni kuvichoma moto?Uviendeleze kwa sera mbovu na ukosefu wa haki?
Uta endelezaje hapo?
Kuna sehemu nimesema suluhisho ni kuchoma moto?Kwahiyo suluhisho ni kuvichoma moto?
Madogo wa gen z ni bure, kichwani hamna kitu, poorly educated,elimu biashara imewaumiza sana,ni generation ya hivyo,sijui itakuaje itakapokamata nafasi nyeti serikaliniSasa kutokujua IQ na kutokujua "Past tense" haviingiliani mkuu.
Mtu ana degree anashindwa kuandika barua ya kikazi ya Kiingereza na Kiswahili.
Wewe siku moja, pitia barua/emails za maombi ya kazi, utacheka na kusikitika sana.
Nafikir kuna namna hujafuatilia kwanini wako hivyo.Siwezi kupinga kuwa kweli ni majasiri na hawaogopi
Lakini linapokuja kwenye suala la elimu ni hakuna kitu.
Mtu anamaliza form six na kujiunga na chuo kikuu alafu hawezi kujua hata past tense?
Kadri unavyokwenda ni dhahiri kuwa karibuni utafuzu katika fani ya UPUMBAVU!Siwezi kupinga kuwa kweli ni majasiri na hawaogopi
Lakini linapokuja kwenye suala la elimu ni hakuna kitu.
Mtu anamaliza form six na kujiunga na chuo kikuu alafu hawezi kujua hata past tense?
Hivi Samia Suluhu hassan naye ni wa 'generation' hiyo, maana yote uliyoeleza kuwahusu hao yeye yanamkaa vyema zaidi kuliko hata hao vijana!Madogo wa gen z ni bure, kichwani hamna kitu, poorly educated,elimu biashara imewaumiza sana,ni generation ya hivyo,sijui itakuaje itakapokamata nafasi nyeti serikalini
Madogo weupe mno vichwani,no critical thinking,soft,hawaoni mbali, yaani shida tu
Hata kuandika kiswahili hayajui
You're all missing the point; that of the key ingredient in all of that.Uwezo wa mtu kupambanua mambo hautokani na "Generation" aliyozaliwa.
Kuna vilaza wengi tu ni Generation X na Millenials.
Pia kuna Gen Z wengi tu ni smart upstairs.
Wewe ni mwehu? Hapa tuna hoja ya suala lingine kabisa. Habari ya Samuya na ufisadi wake au uonevu hauhusiki. Acha kutumia matako kufikiriKadri unavyokwenda ni dhahiri kuwa karibuni utafuzu katika fani ya UPUMBAVU!
Unawalaumu wahanga badala ya wahusika waliosababisha hali hiyo?
Sasa kama umewaona hao; na hawa watakaofuata chini ya huyu mhalifu Samia Suluhu, hali itakuwaje?
Taifa linaangamizwa hivi hivi, huku wengine wamejaza kamasi vichani mwao wao kama unavyoonyesha mwenyewe!
Wewe kweli unayo akili humo ndani ya fuvu lako?
Sio Gen Z ni mfumo wa elimu wa nchi yakoSiwezi kupinga kuwa kweli ni majasiri na hawaogopi
Lakini linapokuja kwenye suala la elimu ni hakuna kitu.
Mtu anamaliza form six na kujiunga na chuo kikuu alafu hawezi kujua hata past tense?