Nilishakueleza mara kadhaa humu humu, uchizi unaosababishwa na mchanganyiko wa hayo makangala/bange na matakataka mengine yanakumaliza.Wewe ni mwehu? Hapa tuna hoja ya suala lingine kabisa. Habari ya Samuya na ufisadi wake au uonevu hauhusiki. Acha kutumia matako kufikiri
Nakubaliana na wewe kwenye kuwa na IQ ndogo kizazi cha Gen Z lakini siungani na wewe kipimo chako ulichotumia cha kutokujua "Past tense"Una kipimo cha IQ?
Kama vizazi vya Baby boomers, Generation X, Millenials vingekuwa na IQ kubwa tusingekuwa hapa tulipo leo.
Miaka 65 ya uhuru nchi bado ni maskini ombaomba.
Na viongozi wengi ni Generation X na Millenials.
Sasa nani wenye IQ ndogo?
Hivi kuna watu wana IQ ndogo kuliko millennials waliokuwa wakibebwa kwenye treni ili kupelekwa kwenye mikutano ya Samia?Siwezi kupinga kuwa kweli ni majasiri na hawaogopi
Lakini linapokuja kwenye suala la elimu ni hakuna kitu.
Mtu anamaliza form six na kujiunga na chuo kikuu alafu hawezi kujua hata past tense?
Kwa sababu wahenga wamegoma kuwapisha Gen Z kuona how capable they areKipimo ni pale Gen Z wanaposhindwa kututoa walipoishia wahenga na kutupeleka mbele na badala yake walipoishia wahenga Gen Z wanapachoma moto.
Nauza KangalaWw hiyo iq kubwa yako imekusaidia nn mpaka sasa?
Kabla ya kukihukumu hiki kizazi utuambie kwanza je wewe ni kizazi cha TANU ama ASP na bila kuacha kutoa sababu za kutosha kuwa Gen Z wana IQ ndogo?Siwezi kupinga kuwa kweli ni majasiri na hawaogopi
Lakini linapokuja kwenye suala la elimu ni hakuna kitu.
Mtu anamaliza form six na kujiunga na chuo kikuu alafu hawezi kujua hata past tense?