Kwa nini Hitler aliwachukia sana Wayahudi na kuwauwa kiasi kile?

Gengis Khan wa Jf

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2024
Posts
1,311
Reaction score
3,344
Mzuka wana jamvi ...?

Mpaka Leo najiuliza mwanadamu inakuwaje mpaka unapata ghazabu za kutaka kuua Jamii nzima na kuwafuta mbali kabisa bila kujali mtoto , Mzee , kijana , Mwanamke nk ?

Inaelekea Hilter Kuna jambo Wayahudi walimfanyia mpaka kuwa na moyo huo je , ni jambo lipi ?

Na hakuona solution nyingine yeyote isipokuwa mauji makubwa ya kufuta kizazi chote ?

IMG_20260324_222914.jpg
 
View attachment 3562290
Subiri wayahudi wa kurasini waruke na wewe.
 
Mzuka wana jamvi ...?

Mpaka Leo najiuliza mwanadamu inakuwaje mpaka unapata ghazabu za kutaka kuua Jamii nzima na kuwafuta mbali kabisa bila kujali mtoto , Mzee , kijana , Mwanamke nk ?

Inaelekea Hilter Kuna jambo Wayahudi walimfanyia mpaka kuwa na moyo huo je , ni jambo lipi ?

Na hakuona solution nyingine yeyote isipokuwa mauji makubwa ya kufuta kizazi chote ?

View attachment 3562290
Adolf Hitler alikimbia umande, lakini kichwani alikuwa ana akili nyingi sana. Alichowafanyia Wayahudi hata hakihitaji kuonewa huruma, na hasa ukiwaona Wapalestina wanavyoteswa na kunyanyaswa na hao viumbe.
 
Back
Top Bottom