Chagua shansarie kuwa miss chit chat 2013
Kuna vitu visivyoelezeka hunitokea mara kwa mara kama ifuatavyo:
1. Uko ofisini au nyumbani busy kwenye meza yako. Simu iko juu ya meza, na tangu ulipoanza shughuli masaa mawili nyuma, hakuna mtu aliyekupigia. Unajisikia kwenda haja. Ile umeondoka unaanza kufungua mlango wa chooni, mara simu inaita na kukufanya utamani kurudi kuisikiliza. Hii ni phenomenon gani? Umeshakutokea?
2. Uko na marafikizako mnapiga stori. Mojawapo ya hizo stori ni kuhusu jamaa mmoja ambaye hamjamwona kwa muda mrefu. Mara kwa mbaali huyo jamaa anakuja kuelekea kikundi chenu!
3. Unatembea barabarani kuelekea mahali, na mara kwenye mawazo yako unaufikiria wimbo fulani uupendao na kuanza kuimba. Unafika kwenye nyumba fulani ambamo unasikia wimbo unaoimba ukiimba kwenye hiyo redio.
4. Uko chumbani mwako unasikiliza taarifa ya habari kwenye tv au redio. Kuna habari imekuvutia unataka kuisikiliza kwa makini lakini ghafla mlango unagongwa kuna mwanafamilia anataka kukueleza kitu!
Najiuliza sana inakuwaje hivi vitu vinatokea? Je na wewe umepata kujiuliza na pengine kupata jibu ama la kisayansi au para-science?
Karibu.
Hiyo inaitwa elim ya vitu visivyoonekana au metaphysics. We hujiulizi tai yuko sumbawanga na anaweza jua kuna mnyama anakufa serenget na anaanza safari kuelekea eneo la tukio. Wasomi wanaita INSTINCT ila mimi naimani kbs kuna zaidi ya instinct[/QUOTE Jerrymsigwa umegusia mambo ambayo ni tofauti na ninavyoyafahamu.. Umegusia kitu kiitwacho 'instinct'. Instinct najua kwamba ni ile natural reaction ya kiumbe kwenye mazingira fulani. Kama mathalani naimba wimbo fulani halafu akaja mtu mwingine ambaye naye anaimba wimbo huo, hakuna instinct hapo. Pengine ungetaja kitu kiitwacho coincidence ningekubaliana nawe. Hiyo ya tai wa sumbawanga kujua habari ya mzoga ulioko serengeti hiyo kweli ni instinct ila ni ya wanyama na si ya kibinadamu.In any case, asante kwa mchango wako.
Kuwa mpole wife wangu..