shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,373
Bibie kiuno kimepona?
leo nina afadhali nimechua hadi kikachulika nilikuwa silalu ati
Bibie kiuno kimepona?
Asante Angel Nylon kwa kuliona hilo. Baadhi ya wanaJF wanapenda sana kutoka nje ya mada iliyo mezani. Ukileta mada kuhusu jinsi tembo wetu wanavyoangamia, wanachangia kwa kueleza jinsi uchaguzi wa TFF ulivyofanyika! Hata hivyo, shansarie na kiwatengu wasikonde, nimempendekeza shansarie kwenye best five!