Kwa Nini Hivi Vitu Hutokea? Je, Vimewahi Kukutokea?

Tobaaaaa, ndo yale yale ya kutoka nje ya mada?

Sorry SHIEKA
Asante Angel Nylon kwa kuliona hilo. Baadhi ya wanaJF wanapenda sana kutoka nje ya mada iliyo mezani. Ukileta mada kuhusu jinsi tembo wetu wanavyoangamia, wanachangia kwa kueleza jinsi uchaguzi wa TFF ulivyofanyika! Hata hivyo, shansarie na kiwatengu wasikonde, nimempendekeza shansarie kwenye best five!
 
Last edited by a moderator:
Au unakuta unawasiliana na mpenzi wako kwa simu au chatting ishu serious inayofikia kupeana hata kibuti mara anatokea mtu au mshikaji wako na ishu lingine inakubidi tu ukate mawasiliano na mpenzi bila hata kumwaga halafu inakuwa kama soo lingine
 

aika sana mbee!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…