matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Najaribu kujiuliza.
Aliposhambuliwa na Hamas aliwapiga Hadi Sasa hawewezi kabisa kujibu na hawajajibu chochote.
Aliposhambuliwa na Hesbullah aliwapiga sana na kiongozi wao ambaye walikuwa wanamfuatilia miaka yote wakaamua kuumoteza. Hesbullah imepigwa kiasi cha kunyimwa kabisa uwezo wa kurusha hata bomu la manati Israel.
Leo tumebaki na Houthi wa Yemen. Leo tu wamesababisha tahatuki kubwa KWA mabomu waliorusha.
Cha ajabu hawa Israel wanajibu KWA kawaida sana na Sio KWA muendelezo ila huko Gaza wanapigwa mabomu Kila siku. Kambi za wakimbizi, hospitali, misikiti, etc na haishii hapo Neta anasema maeneo yote yanayochukuliwa wapalestina wasitegemee yawe yao tena. Cha ajabu sioni Hamas akijibu chochote kama houthi ila kipondo hapigwi houthi anaendelea kupigwa Palestina Kila siku.
Kwa nini unadhani hiki KITU kinaendelea?