Kwa nini Israeli wanawapiga Parestina kila wanapojisikia?

Kwa nini Israeli wanawapiga Parestina kila wanapojisikia?

Naombeni mwenye jibu hili? Huku wakiwa hawana makazi,wala chakula na Dunia imekaa kimya?
Je wajua wapalestina hao waliyoyafanya Oct 07,2023?? Ungejua unyama walioufanya siku hiyo hata usingeuliza swali hilo.

Kwa taarifa yako tu watu hao siku hiyo Oct 08,2023 walivamia Israel wakateka watu 251, Walibaka watu na kuua watu 1,200 na dunia ilikuwa kimya wakati huo watu hao walikuwa wakifurahia na kusherehekea kwa mbwembwe kubwa mauaji waliyoyafanya

Kwa sasa Israel inajibu mapigo na kudai mateka wake waachiliwe na Magaidi hao kwa hiyo acheni kiherehere wakati wapalestina hao wakivuna walichopanda Oct 07,2023.
 
Astaghifilulah! Inshaallah, tufumbe macho tuwaombee dua waione pepo.Aaiiimin!
Dawa ni moja tu ni kumtegemea mwamba kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain kipenzi cha waislamu aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.

Mcheki hapo Chini mwamba kwenye battle of Karbala kuulinda uislamu.
94df1a149846797.Y3JvcCwyMjMyLDE3NDYsNTA4LDA.jpg


adriz Jagina
 
Dawa ni moja tu ni kumtegemea mwamba kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain kipenzi cha waislamu aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.

Mcheki hapo Chini mwamba kwenye battle of Karbala kuulinda uislamu.
View attachment 3415609

adriz Jagina
Yupo vema.Alikuwa anajiremba kama Kobe.
 
Naombeni mwenye jibu hili? Huku wakiwa hawana makazi,wala chakula na Dunia imekaa kimya?
Migogoro yao ni ya miaka mingi na huenda isiishe mpaka Mungu apende. (Kumbuka hata wakati wa kina Goliath). Hakuna upande utakaosema kilichoamuliwa ni cha haki.

Lakini hili la sasa ilichochewa na so called Hamas kufanya uamuzi ambao zaidi umewaumiza wenyewe. Kwa kwenda na kuivamia Israel na kuua watu zaidi ya 1200+ na walipotosheka wakachukuwa wengine zaidi ya 250 mateka. Na baada ya tukio walisherekea na miili mingine wsliifanyia parade mitaani wakimtukuza Mungu wao "Allah Akbar". Baada ya tukio hilo Netanyahu aliaambia dunia, kwa nguvu ile ile waliotumia watajibiwa. Na dunia ikae kimya isiwaombe kuacha. Kifupi WaPalestina walifanya uchokozi 7/10/2023. Sasa unayoyaona ni matokeo ya kumchokonoa nyoka shimoni.
 
Haya tuseme sawa hao waisilam hawana elimu Sasa tuambie hao wakristo wenye elimu imewapeleka wap? Imewafikisha wap? Hapo hatuzungimzii Dunia tunazungumzia Tanzania elimu ndo hiii tunayohangaika kuipata halafu uuze genge au elimu gan? Ya kua mwanasiasa mwizi japo siasa Haina elimu ila watu wanakimbilia huko sasaa elimu imetuvusha wap?
 
Huyo hata dini haijui lazima ni mkristo tu kajidai Muislam vipi mwanamke wa Kislam akacheze vile hapo nisehemu ya ibada. Siku zote nasema Wayahudi na Wakristo ndio wanao uharibu Uislam.
Hahaha ila dogo wee mbishi😆😆😆👆🏿👆🏿
 
Wameshaona Allah ni mbabahishaji na muoga hawezi kuwafanya lolote.

Jagina Adiosamigo Ritz Webabu Covax
We tulizana uliwahi kuona Mitume kama Yesu, Mussa, Ayoub, Muhammad hawakupitia matatizo. Siku zote mwenye kupendwa na Mungu ndio anapitia mitihani migumu. We kula bata tu sukumizia na Pepsi lakini hakuna pepo ya Mungu ukaipata bila kupitia mitihani migumu.
 
Ye
Huyo hata dini haijui lazima ni mkristo tu kajidai Muislam vipi mwanamke wa Kislam akacheze vile hapo nisehemu ya ibada. Siku zote nasema Wayahudi na Wakristo ndio wanao uharibu Uislam.
Yebo shemeji yako anamkatia miuno allah mpaka anazunguka alafu wewe unawasingizia wengine
 
Back
Top Bottom