Je wajua wapalestina hao waliyoyafanya Oct 07,2023?? Ungejua unyama walioufanya siku hiyo hata usingeuliza swali hilo.
Kwa taarifa yako tu watu hao siku hiyo Oct 08,2023 walivamia Israel wakateka watu 251, Walibaka watu na kuua watu 1,200 na dunia ilikuwa kimya wakati huo watu hao walikuwa wakifurahia na kusherehekea kwa mbwembwe kubwa mauaji waliyoyafanya
Kwa sasa Israel inajibu mapigo na kudai mateka wake waachiliwe na Magaidi hao kwa hiyo acheni kiherehere wakati wapalestina hao wakivuna walichopanda Oct 07,2023.