Kwa nini Israeli wanawapiga Parestina kila wanapojisikia?

Wameshauwawa zaidi ya Wapalestina 100,000 na zaidi.

Zimeashambuliwa mpaka hospital, nyumba za yatima, shule, kambi za wakimbizi pamoja na vituo vya msaada.

Aina hii ya mauaji kuanzia wazee, watoto, mama wajawazito na kinamama inajaustify kilitotokea may 7?

Hivi umetumia common sense kweli?

Haya kama kweli kwa nini isiendelezee operation rising Lion kwa Iran na mkaomba suluhu?

Jibu ni moja tu, na sio lingine Israel anayapiga mataifa dhaifu na yasiyo weza kumletea madhara kwake?
 
Wameshauwawa zaidi ya Wapalestina 100,000 na zaidi.
Je walipouwa wao 1,200 walitaka na Israel iue 1,200 tu kwa mkataba upi?

Zimeashambuliwa mpaka hospital, nyumba za yatima, shule, kambi za wakimbizi pamoja na vituo vya msaada.
Hata magaidi walipovamia huko Israel hakuna sehemu waliyobakiza kila sehemu walishambulia kwa hiyo hakuna la ajabu hapo Acha wapigwe tu!!!

Aina hii ya mauaji kuanzia wazee, watoto, mama wajawazito na kinamama inajaustify kilitotokea may 7?
Ndiyo yana Justfy maana hata wao waliua wanawake na watoto, akina mama wajqwazito, vilema na wazee!!

Israel hapa inachofanya ni kujibu tu mapigo kwa hiyo acheni kulalamika wakati nagaidi wanavuna walichopanda!!!!
Hivi umetumia common sense kweli?
Nimetumia sana tu!!!

Haya kama kweli kwa nini isiendelezee operation rising Lion kwa Iran na mkaomba suluhu?
Acha ujinga Operation Rising Lion ilikuwa ni ya wiki mbili tu!!

Jibu ni moja tu, na sio lingine Israel anayapiga mataifa dhaifu na yasiyo weza kumletea madhara kwake?
Hayo ni maneno ya Mkosaji!!
 
Leo umetumia akili kujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…