N ndoto2020 JF-Expert Member Joined Feb 25, 2017 Posts 267 Reaction score 373 Dec 12, 2024 #1 Hi huyu mwenye hii Kampuni ya Jeccs construction ni nani na nani yupo nyuma yake ? Takukuru waichunguze maana anapendelewa sana na serikali na ana miradi zaidi ya 800 nchi nzima ya thamani zaidi ya trillioni 4 kwani hakuna kampuni zingine za wazawa?
Hi huyu mwenye hii Kampuni ya Jeccs construction ni nani na nani yupo nyuma yake ? Takukuru waichunguze maana anapendelewa sana na serikali na ana miradi zaidi ya 800 nchi nzima ya thamani zaidi ya trillioni 4 kwani hakuna kampuni zingine za wazawa?
S Sappire JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 3,447 Reaction score 8,896 Dec 12, 2024 #2 Huyo anaukaribu na mama.Hivyo,hawezi kuguswa
N ndoto2020 JF-Expert Member Joined Feb 25, 2017 Posts 267 Reaction score 373 Dec 12, 2024 Thread starter #3 Sappire said: Huyo anaukaribu na mama.Hivyo,hawezi kuguswa Click to expand... Inatushangaza sana na amlipo yake ni chap chap
Sappire said: Huyo anaukaribu na mama.Hivyo,hawezi kuguswa Click to expand... Inatushangaza sana na amlipo yake ni chap chap
jlo father Member Joined Dec 11, 2024 Posts 13 Reaction score 5 Dec 12, 2024 #5 Unajitekenya alafu unataka ucheke
Typical JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 682 Reaction score 632 Dec 12, 2024 #6 Kila zama na kitabu chake