KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Hapa juzi tumesikia kuwa yule lutenkanali aliyetoroka apasua vichwa ndani ya JWTZ,
Lakini kutokana na maelezo ya Meja Komba ambaye ni msemaji wa JWTZ aliwahakikishia watanzania kuwa huyo lutenkanali hakuondoka na nyaraka zozote za msingi kutokana na wadhifa aliokuwa nao, lakini tunaambiwa serikali inawasiwasi! je nini wasiwasi wa serikali kama mtu mwenyewe hakuwa katika kitengo muhimu??
My take; Jamaa atakuwa alikuwa na data muhimu za kijeshi na ushauri wangu ni jeshi wabadilishe system yao.