Kwa nini JWTZ wanaweweseka?

Kwa nini JWTZ wanaweweseka?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Hapa juzi tumesikia kuwa yule lutenkanali aliyetoroka apasua vichwa ndani ya JWTZ,
Lakini kutokana na maelezo ya Meja Komba ambaye ni msemaji wa JWTZ aliwahakikishia watanzania kuwa huyo lutenkanali hakuondoka na nyaraka zozote za msingi kutokana na wadhifa aliokuwa nao, lakini tunaambiwa serikali inawasiwasi! je nini wasiwasi wa serikali kama mtu mwenyewe hakuwa katika kitengo muhimu??
My take; Jamaa atakuwa alikuwa na data muhimu za kijeshi na ushauri wangu ni jeshi wabadilishe system yao.
 
Nasikia siku mabomu ya Gongo la Mboto yalipolipika JWTZ walikimbia na kuogopa kama kifaranga anaetaka kuibiwa na mwewe
 
Naomba link yenye habari zaidi kuhusu utorokaji ya huyu luteni kanali.
 
Hali ni tete, nchi iko kwenye AUTO PILOT, BADO TUNA safari kurudi kwenye truck.
 
acha uvivu mkuu hembu fukua fukua utaipata hum hum ndani?mm kuweka link siwezi ningekuwa na weza ningekuwekea au tupeane kazi basi ww nifundishe kuweka link mm nitakuwekea hiyo link unayoitaka
 
.Mkuu unaposema auto pilot bado unaipamba..yaani hii nchi ni kama mashua iliyokata kamba ufukweni..you know what i mean.
 
Wewe unachobisha nini tarifa za pande za jeshi ni kwamba huyu mtu alikuwa daktari wa mifugo sasa kwenye mifugo kuna nini zaidi ya mbolea na namana ya kuzalisha wanyama tu.
 
.Mkuu unaposema auto pilot bado unaipamba..yaani hii nchi ni kama mashua iliyokata kamba ufukweni..you know what i mean.
Bavicha mnamatatizo sana hayo ndiyo mawazo yenu kila kikicha yakichonganishi na kukata tamaa.
 
Naogopa mie! Nchi hii ukiwa mkweli unaitwa mchochezi halafu unafungiwa,kamailivyotokea kwa magazeti.Tuendelee kudanganyana ili tuitwe wazalendo!
 
Bavicha mnamatatizo sana hayo ndiyo mawazo yenu kila kikicha yakichonganishi na kukata tamaa.
siku moja utajawaita wazazi wako bavicha.maana inaelekea hujui kama wewe ni mwanamke au mwanaume. sio kila achangiae jambo ni mpinzani.
 
Bavicha mnamatatizo sana hayo ndiyo mawazo yenu kila kikicha yakichonganishi na kukata tamaa.

Wewe utakuwa umeachika kwa mwanaume mmojawapo ndani ya BAVICHA, si bure na inawezekana kakuacha na ujauzito. Haiwezekani kila post lazima uitaje BAVICHA.
Ushauri:
Uwe unatembea na ndimu mfukoni zinasaidia kupunguza kichefuchefu.
 
Hapa juzi tumesikia kuwa yule lutenkanali aliyetoroka apasua vichwa ndani ya JWTZ,
Lakini kutokana na maelezo ya Meja Komba ambaye ni msemaji wa JWTZ aliwahakikishia watanzania kuwa huyo lutenkanali hakuondoka na nyaraka zozote za msingi kutokana na wadhifa aliokuwa nao, lakini tunaambiwa serikali inawasiwasi! je nini wasiwasi wa serikali kama mtu mwenyewe hakuwa katika kitengo muhimu??
My take; Jamaa atakuwa alikuwa na data muhimu za kijeshi na ushauri wangu ni jeshi wabadilishe system yao.

Haingii akilini eti mtu walimkamata afu atoroke under military custody. Ila ndo jibu pekee ambalo jeshi wanaweza kulitoa ili kuepukana na usumbufu toka kwa mkewe na watoto especially if the subject has been permanently silenced..
 
Wenye akili wameshafanya kazi yao. Mila za mataifa mbali mbali huwa wanapomkamata jasusi huwa hawatangazi bali wanahakikisha wanamnyonya mpaka tone la mwisho la maji. Kutoroka kwake hiyo ni Zuga ili ijulikane kuwa hayupo. Kwa ufahamu wangu na masuala ya kiusalama huyoo jamaa hajaenda kokote yuko anafanya kazi sehemu. Na ndio maana Kagame anahaha watu wake wanapotea kimya kimya bila kujua wanapotea vipi. Operation kimbunga ulikuwa ni mwavuli wa kuwafanya watu waitolee macho tz halafu ndani ya nchi zao wanapotezwa. Chea
 
ni bora uwaambie kwani wanaweweseka sana hawaweki mambo wazi kwanini huyo lutenikanali ameondoka na nyaraka hizo kuna ulakini hapo tunafichwa siye tusiojua, waangalie wasijekutuletea majanga bure nchini hapa

Halafu kaka sisi wanadarwing tunataka kwenda kumuona mwenzetu alipatwa na ajali mbaya amelazwa pale moi kama uko adar tuhabarishe.
Hapa juzi tumesikia kuwa yule lutenkanali aliyetoroka apasua vichwa ndani ya JWTZ,
Lakini kutokana na maelezo ya Meja Komba ambaye ni msemaji wa JWTZ aliwahakikishia watanzania kuwa huyo lutenkanali hakuondoka na nyaraka zozote za msingi kutokana na wadhifa aliokuwa nao, lakini tunaambiwa serikali inawasiwasi! je nini wasiwasi wa serikali kama mtu mwenyewe hakuwa katika kitengo muhimu??
My take; Jamaa atakuwa alikuwa na data muhimu za kijeshi na ushauri wangu ni jeshi wabadilishe system yao.
 
lakini kaka mkorofi wewe haya
Wewe utakuwa umeachika kwa mwanaume mmojawapo ndani ya BAVICHA, si bure na inawezekana kakuacha na ujauzito. Haiwezekani kila post lazima uitaje BAVICHA.
Ushauri:
Uwe unatembea na ndimu mfukoni zinasaidia kupunguza kichefuchefu.
 
Hapa juzi tumesikia kuwa yule lutenkanali aliyetoroka apasua vichwa ndani ya JWTZ,
Lakini kutokana na maelezo ya Meja Komba ambaye ni msemaji wa JWTZ aliwahakikishia watanzania kuwa huyo lutenkanali hakuondoka na nyaraka zozote za msingi kutokana na wadhifa aliokuwa nao, lakini tunaambiwa serikali inawasiwasi! je nini wasiwasi wa serikali kama mtu mwenyewe hakuwa katika kitengo muhimu??
My take; Jamaa atakuwa alikuwa na data muhimu za kijeshi na ushauri wangu ni jeshi wabadilishe system yao.

Baada ya m23 yenu kuchakazwa na wahamiaji haramu kutimuliwa mmemmua kuja kwa staili hii? Unaandika ukiwa Kigali au mji gani? Pole sana JW kiboko yenu.
 
acha uvivu mkuu hembu fukua fukua utaipata hum hum ndani?mm kuweka link siwezi ningekuwa na weza ningekuwekea au tupeane kazi basi ww nifundishe kuweka link mm nitakuwekea hiyo link unayoitaka

Nimekukubali mkubwa!
 
Baada ya m23 yenu kuchakazwa na wahamiaji haramu kutimuliwa mmemmua kuja kwa staili hii? Unaandika ukiwa Kigali au mji gani? Pole sana JW kiboko yenu.
Sasa wewe nyerere mbona wewe ni mtusi??Au unajifanya hatukuoni na wewe unatakiwa uje huku niliko Kigali!
 
Na bado tutaingia mpaka Kigali, subirini muone. JW kiboko yenu!
Umemaliza tuendelee na mjadala mwingine maana nyie watoto mnasikia raha kubishana na kakayako KakaKiiza...niambie ili niendelee na mengine!
Kwani maziwa yakiisha mdomoni utanyamanza tu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom