Pia imezungukwa na migodi zinazotumia sumu (zebaki) kusafishia madini eg mgodi wa north mara-mto mara-ziwaniKanda ya ziwa kitoweo kikuu ni samaki kutoka ziwa Victoria,
unazungumzia cancer ya aina gani au ipi?Wakuu hili swali nauliza kwa wema kabisa...
Kansa ya ngozi ina uhusiano na hayo maji toka migodini bila shakaKansa ya ngozi, kizazi zinawatesa sana watu wa kanda ya ziwa
Wakuu hili swali nauliza kwa wema kabisa. Kuna kiwango kukubwa cha wagonjwa wa Cancer kwa upande
Hospitali itapunguzaje tatizo wakati mfumo wetu wa afya upo kusubiri kutibu wagonjwa?Hiyo hospitali kubwa ikijengwa itasaidia kwa kiasi fulani kupunguza
Nafikiri mazingira muda mwingine yanachangia hiyo hali