Sheria kwa Kiswahili
Senior Member
- Mar 30, 2018
- 116
- 106
hilo swali halitakiwi kuulizwa na sisi watanzania, especially kama ulishawahi kufika kenya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha do your research well, Singapore,Taiwan zipo juu kwa kipato cha raia mmoja mmoja ukilinganisha na China? Mfano mzuri ni USA it has a big economy ukilinganisha na Russia lakini individually matajiri ni wachache sana ukilinginisha na wananchi wenye kipato cha kati yaani there is a very big gap wakati Russia wananchi matajiri ni wengi as well as wananchi wenye kipato cha kati yani kwa kiasi kuna balance.
Kwa nchi kuendelea lazima iwe na majirani wanaoendana kwa kasi pamoja, Kenya imezungukwa na mataifa ambayo yote yameorodheshwa kwenye LDC, yaani maskini wa kutupwa.
Kenya imejaribu sana maana ni kainchi kadogo, nusu yake kame tupu, bila madini lakini kameshinda mijitu kama DRC na Tanzania
Mi sio mkenya mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] naona unani adress kama mkenyaKenya ukabila unawatafuna na hamtaweza kuendelea uchumi wenu unadidimia, maisha ya wachache ndio yenye unafuu 65% ni masikini huwezi kuwa una kundi kubwa la walipa kodi masikini ukategemea uchumi kuimarika Kenya mjitafakari anguko lenu linazidi.
The way you are adressing the Kenyan economic situation is as if the economy in our country (Tanzania) is in a good state as compared to the 50+ years of independence.Kenyans r generally lazy people, imagine 50 years after independence they can not even sustain themselves with food! Look at who r behind their tea n flower farms! Whitemen n few politicians while majority of them specialise on being tenants at their estates.
Feudalism at its highest peak. Believe me if a random survey is to be conducted here in JF, it will yield a null result for those with a 30 acres land to cultivate. But they make a lot of noises in here. Magufuli knows how to fix them he is on a mission to erase all their middlemen way of surviving in an economic pyramid.
Wewe ni mkenya mwenzetu bana. Acha kupanick. Kaa kinyang'au nyang'au! 😀Mi sio mkenya mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] naona unani adress kama mkenya
Usome makala kwanza uelewe kinachozungumziwa umeambiwa Kenya chose capitalism that won Communism. Kenya didn't take place in Southern Africa liberation struggles n hence no sanctions did Kenya face. KENYA had flawless 50 years of independence on a right path. And yet struggling like us.The way you are adressing the Kenyan economic situation is as if the economy in our country (Tanzania) is in a good state as compared to the 50+ years of independence.
😀Wewe ni mkenya mwenzetu bana. Acha kupanick. Kaa kinyang'au nyang'au! 😀
Isitoshe wana-control trade to the so poor neighbors. In short hawana excuse na swali limewashusha mbembwe zao. Wamegundua si kitu.Sikubaliani na wewe katika hilo, Japani ndiyo nchi ya kwanza kabisa kuendelea Asia na ilikuwa eneo lenye masikini watupu lkn walikuwa wanatrade moja kwa moja na Ulaya na USA isitoshe sehemu kubwa ya trade ya Kenya inakwenda EU, Kenya haiuzi maua na chai au hata Watalii wake hawatoki Afrika, hivyo kusema kwamba kuzungukwa na nchi masikini ndiyo sababu siyo kweli, kama ni hivyo basi Mexiko ingekuwa tajiri kama USA kwa maana ni majirani!
Hivi Kenya ni kanchi kadogo kuliko Singapore, Uswiz au hata Japan eeh,,au unaongelea udogo kiuchumi ?,anyway naona mmeanza kutafuta tundu la kutokea.!Kwa nchi kuendelea lazima iwe na majirani wanaoendana kwa kasi pamoja, Kenya imezungukwa na mataifa ambayo yote yameorodheshwa kwenye LDC, yaani maskini wa kutupwa.
Kenya imejaribu sana maana ni kainchi kadogo, nusu yake kame tupu, bila madini lakini kameshinda mijitu kama DRC na Tanzania
Kenya mnajenga ufisadi na ukabilaKenya,Kenya,Kenya! Haka kanchi kweli ni mwiba kwa wengi! Mada nzima na utafiti ambatanishi kufuatilia michango humu yaonyesha Watanzania mmemakinika na chochote cha Kenya na maslahi yake! Endeleeni vivyo hivo huku Wakenya wakijenga nchi yao.
Na hebu mleta mada,Take-off kwako wewe ni nini? Kama Mkenya,mimi najua Kenya ili take-off kitambo na inaelekea upeo wa juu hata zaidi!
Nijuavyo pia, mioyoni mwenu mngependa Kenya
isambaratike na kuLand-crash!
Wacheni unafiki!
Uongo mtupu. Russia imekuwa pale pale tangu enzi zile lakini Western Media inaonyesha kuko kubaya...Urusi haijaendelea kama ambavyo ilivyopaswa kuwa na hata hayo maendeleo unayoyaona leo hi Urusi yamekuja baada ya kuchukuwa capitalism na kuacha communism, ndiyo maana bado Urusi iko nyuma kimaendeleo ukilinganisha na Ulaya Magharibi, USA, au hata East Asian!
hilo swali halitakiwi kuulizwa na sisi watanzania, especially kama ulishawahi kufika kenya.
Sikubaliani na wewe katika hilo, Japani ndiyo nchi ya kwanza kabisa kuendelea Asia na ilikuwa eneo lenye masikini watupu lkn walikuwa wanatrade moja kwa moja na Ulaya na USA isitoshe sehemu kubwa ya trade ya Kenya inakwenda EU, Kenya haiuzi maua na chai au hata Watalii wake hawatoki Afrika, hivyo kusema kwamba kuzungukwa na nchi masikini ndiyo sababu siyo kweli, kama ni hivyo basi Mexiko ingekuwa tajiri kama USA kwa maana ni majirani!
Mimi kila siku huwa nasema haya, nilipokuwa mdogo miaka ya 90's mama yangu alikuwa akienda kununua mahitaji ya nyumbani, yaani Chumvi, sabuni, sukari, vipodozi, Mafuta ya kula n.k karibu vyote vilikuwa 'Made In Kenya'Kwa nchi kuendelea lazima iwe na majirani wanaoendana kwa kasi pamoja, Kenya imezungukwa na mataifa ambayo yote yameorodheshwa kwenye LDC, yaani maskini wa kutupwa.
Kenya imejaribu sana maana ni kainchi kadogo, nusu yake kame tupu, bila madini lakini kameshinda mijitu kama DRC na Tanzania
Mada za kihivi huwa unazianzisha, ukijibiwa unatoweka halafu baada ya miezi michache unaibuka tena na swali lile lile, na ndio unaona Wakenya hawahangaiki kukujibu maana ushajibiwa mara nyingi tu.
Inafaa ikuingie kwamba mfumo wa nchi sio sababu pekee ambayo inawezesha nchi kuboreka kiuchumi, cha msingi na muhimu ni uwezo wa wananchi wa nchi husika kujituma. Afrika hii, hata majirani zenu wote akina Zambia, Malawi n.k. wote walikumbatia ubepari, lakini bado mnaorodheshwa pamoja kama mataifa maskini wa kutupwa dunia hii.
Ukiangalia hata Uganda ambayo haina eneo kame kama ilivyo Kenya, pia mpo kwenye kundi moja. Nchi yetu ni mfano wa kuigwa, maana nusu yake ni kame tupu, jangwa lakini hatupo nanyi kwenye kundi la maskini. Nyie kilichowaponza, ni kwamba hamkuuelewa mfumo wa communism, ilikua ni kazi ya mtu mmoja tu Nyerere ambaye hakutaka kushauriwa, mkaishia kuwa wavivu na wazembe hadi liinchi likubwa, yaani muungano wa nchi mbili zenye kila aina ya raslimali lakini maskini hadi noma.
Siri ya Kenya ni kujituma, huwa tunajituma kwa kwenda mbele, ni kweli hatuwezi kujilinganisha na Japan, wapo mbele yetu, ila inafaa uelewe wale walianza mapinduzi ya viwanda (industrial revolution) mwaka wa 1870 wakati huku tukiwa gizani. Na mataifa yote yaliyowazunguka walipata huo mwanga, lakini sisi huku tumezungukwa na mivivu.
Kwa nchi kuendelea lazima iwe na majirani wanaoendana kwa kasi pamoja, Kenya imezungukwa na mataifa ambayo yote yameorodheshwa kwenye LDC, yaani maskini wa kutupwa.
Kenya imejaribu sana maana ni kainchi kadogo, nusu yake kame tupu, bila madini lakini kameshinda mijitu kama DRC na Tanzania