Nilijuiliza sana hili swali. Lakini anyways majibu yanaelewekaKwa nini hii kesi ya Lissu kila ikihairishwa inakuwa muda wa baada ya wiki mbili na sio wiki moja, wiki tatu, mwezi, siku 3 n.k?
Ni taratibu kwa mtuhumiwa ambaye Hana dhamani siku 14 na akiwa nje kwa dhamana Siku 21Kwa nini hii kesi ya Lissu kila ikihairishwa inakuwa muda wa baada ya wiki mbili na sio wiki moja, wiki tatu, mwezi, siku 3 n.k?
Hata ingekuwa inahairishwa kwa wiki moja,mbili,tatu au wiki yoyote bado ungeuliza tuKwa nini hii kesi ya Lissu kila ikihairishwa inakuwa muda wa baada ya wiki mbili na sio wiki moja, wiki tatu, mwezi, siku 3 n.k?
NI aibu kutumika kama kondom. Wakimaliza wanaitupa jamaa anaachiwa.Ni aibu mahakama kutumia kama kumkomoa mtu.
Iki hairishwaKwa nini hii kesi ya Lissu kila ikihairishwa inakuwa muda wa baada ya wiki mbili na sio wiki moja, wiki tatu, mwezi, siku 3 n.k?
Maelekezo kutoka juuKwa nini hii kesi ya Lissu kila ikihairishwa inakuwa muda wa baada ya wiki mbili na sio wiki moja, wiki tatu, mwezi, siku 3 n.k?
Haiwezekani Lissu kwenda mahakamani kila siku ya mwezi??Ni sheria inataka hivyo. Pia hakimu anaweza kuangalia ratiba yake ya kusikiliza kesi zingine na kuamua siku.
Kama hajabanwa anaweza kuita mahabusu ndani ya wiki moja mara mbili. Ila kama amebanwa, anatoa siku 14 ili kesi zingine ziendelee. Kumbuka sio Lissu tu, hata mahabusu wengine pia nao wanapewa siku 14.
Mfano, kama atatoa siku 7 kwa Lissu kuitwa, maana yake ndani ya mwezi Lissu anaweza kwenda mahakamani mara 4. Ila akitoa siku 14, Lissu anaenda mahakamani mara 2, hivyo kunakuwa na nafasi kwa mahabusu wengine kusikilizwa.
Kumbuka, mahakimu pia wanakaguliwa ufanyaji kazi wao. Kesi zikikaa muda mrefu bila sababu za msingi anaulizwa inakuaje hizo delays.
Inawezekana ila zikianza sessions za mahakama kuu. Maana nimewai kuona pale ubungo mahakama ya mafisadi, wiki nzima, siku nzima kesi ni moja tu. Asubuhi mpaka jioni, wiki yote Jaji anakuwa na wewe tuHaiwezekani Lissu kwenda mahakamani kila siku ya mwezi??