Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Kuna jambo nimeona niulize,kwa nini mabinti wengi weupe,wanaume wanawaita wazuri,warembo lakini wanawake weusi ni wachache sana kuitwa wazuri,weusi wazuri tena wanaitwa black beauty.
Kuna rafiki yangu alimpeleka mchumba wake kwao kumtambulisha wakampiga majungu eti mweusi sana ,ukiwa mweusi sana ata unaitwa majina mengi kama cheusi mangala nakadhalika.
Kitaa ukiwa na msichana mweupe ata atapata sana usumbufu wa kutongozwa nyie wenyewe mnajionea na watakuja kutoa ushahidi,ata mademu wengi weupe si waaminifu,wanapata sana usumbufu ata wanawake wengi wameamua sasa kujikoboa kuhimili ushindani.
Je ni vigezo gani vinatumika mwanamke mweupe kuitwa mzuri.