Kwa nini kila mwanamke mweupe anaitwa binti mzuri mrembo lakini si kila mweusi anaitwa mzuri

Kwa nini kila mwanamke mweupe anaitwa binti mzuri mrembo lakini si kila mweusi anaitwa mzuri

Kuna jambo nimeona niulize,kwa nini mabinti wengi weupe,wanaume wanawaita wazuri,warembo lakini wanawake weusi ni wachache sana kuitwa wazuri,weusi wazuri tena wanaitwa black beauty.

Kuna rafiki yangu alimpeleka mchumba wake kwao kumtambulisha wakampiga majungu eti mweusi sana ,ukiwa mweusi sana ata unaitwa majina mengi kama cheusi mangala nakadhalika.

Kitaa ukiwa na msichana mweupe ata atapata sana usumbufu wa kutongozwa nyie wenyewe mnajionea na watakuja kutoa ushahidi,ata mademu wengi weupe si waaminifu,wanapata sana usumbufu ata wanawake wengi wameamua sasa kujikoboa kuhimili ushindani.

Je ni vigezo gani vinatumika mwanamke mweupe kuitwa mzuri.
Humu JF wanamajanvi wengi wanaudharau weusi kila kitu kibaya
Utasikia"ngozi nyeusi balaa"
Kwa hivyo akili zetu Zina dumaa kwa kujichukia.
Magazeti mengi wanaweka picha za Wanawake weupe, video za bongo flava Wanawake weupe kila tajiri kao mwanamke mweupe.
Cha ajabu Wazungu wengi ndio wanawapenda sanaaaa dada zetu weusi.
Yuko jamaa mmoja alio mwanamke Mrembo sana kama Flavia Matata.
Jamaa akaenda Ughaibuni kwa masomo ya miezi Sita.
Jamaa akawa anamtumia pesa za matumizi kila wiki mbili. Mrembo badala ya kutumia pesa kwa matumizi akawa ananunua mikorogo.
Siku jamaa anarudi Bongo.Mrembo kaenda uwanja wa ndege kumpokea
Mke wake amekuwa Kama Wema Sepetu.
Jamaa aliamua kutowa talaka maana aliona kadhulumiwa. Toka Matata mpaka Wema.
Mpaka Leo hii jamaa kagoma kuowa.
Hilo ni fundisho kwa dada zetu Na mikorogo.
 
Kabila la mama yangu nchi jiran wala weupe sio dili kwao uzuri wa mwanamke ni suraaaaaaa yaaan akiwa na kapua kareeeefu kama barabaraafu mweusi flan hivi mrefuu acha kabisa mweupe tena bahati mbaya ukikuta pua ilipunguza wakati wa bomoabomoa nyumba zilizopo karibu na barabara serikari inataka kutimiza ahadi hewa ndo kabisaaaaaa. Weupe kawape wasukuma. Ilo kabila mahali inatolewa kutokana na uzuri wa sura ofcoz na shape tho shape hata kwa mchina zipo.
 
ueupe si kigezo cha uzuri kwa mwanamke...ila mwonekano na sura najinsi alivyoumbika kwaujumla ndo kigezo mdau..
Waulize wasukuma utapata jibu.mtoto mweupe mahari yake anapewa ng'ombe mara mbili zaidi ya mweusi.
 
Msichana mweupe anavutia jamani. Ukiuona upaja hadi mate yanajaa.
 
mimi ni msukuma sisi tunapendaga wanawake weupe kwa sababu asilimia kubwa ya wasukuma kanda ya ziwa ni weusi kwa hiyo familia inayobahatika kuzaa msichana mweupe wanaume wengi watamkimbilia kwenda kumuchumbia ili awe mkewe nia na madhumuni ni kubadilisha rangi ya watoto watakaozaliwa wawe weupe basi familia hiyo itakuwa inajivunia mno na hata mwanamke ataitwa majina mazuri mazuri tu mara jamaa kaoa mchina, wengine watasema kachukua mwezi nk.
 
Kamuulize Mondi. Tangu atoke kwenye muziki sijawahi kuona anatoka na dem mweusi... Mara Wema, Mara Naj, mara Peny, mara Mama Tifa, Mara Kidoti n.k...
 
Sio kila mwanamke mwenye rangi angavu (mweupe)ni mrembo na sio kila aliye mweusi ni mrembo!
Wengine kati yao huwa hovyo kabisa ila mara nyingi wanawake weusi wenye ngozi kavu huwa na mvuto maradufu kushinda hata wale ambao wana rangi ya ngozi ambayo ni angavu(weupe).
Vile vile wapo wanawake weupe ambao wana mvuto zaidi kushinda wale weusi wenye ngozi za mafuta ambao wanakuwa na sura nzito.
All in all kuna kuzidiana
 
Ni kwasababu tunaamini mwanamke wa kizungu ndie mwanamke mwenye sifa zote za uzuri.

So mwanamke mweupe anawakilisha mwanamke wa kizungu na tunamuona kama ni copy ya mzungu.

Nilisha andika hapa kuwa kwa namna jamii zinamposition mwanamke mweusi yaani wa kiafrika kuwa ni chombo cha starehe then hata treatments zake zinaonekana wazi wazi.
 
Kuna jambo nimeona niulize,kwa nini mabinti wengi weupe,wanaume wanawaita wazuri,warembo lakini wanawake weusi ni wachache sana kuitwa wazuri,weusi wazuri tena wanaitwa black beauty.

Kuna rafiki yangu alimpeleka mchumba wake kwao kumtambulisha wakampiga majungu eti mweusi sana ,ukiwa mweusi sana ata unaitwa majina mengi kama cheusi mangala nakadhalika.

Kitaa ukiwa na msichana mweupe ata atapata sana usumbufu wa kutongozwa nyie wenyewe mnajionea na watakuja kutoa ushahidi,ata mademu wengi weupe si waaminifu,wanapata sana usumbufu ata wanawake wengi wameamua sasa kujikoboa kuhimili ushindani.

Je ni vigezo gani vinatumika mwanamke mweupe kuitwa mzuri.
Hakuna mwanamke mtamu na mzuri kama wenye rangi nyeusi
 
Huo ni mtazamo binafsi, kwangu mimi mwanamke mweusi ndiyo sipindui hata nikamla nakata pochi nene kuliko mwanamke mweupe. Mungu awabariki sana wana wake weusi ambao hawachubui rangi yao hiyo adimu na ya thamani.
 
Back
Top Bottom