Huo ndiyo ukweli. Samia anachukiwa kwa Uzanzibari wake, Uislamu wake na kwamba ni mwanamke.
Despite all odds ameweza kuuituliza nchi, kujenga uchumi na miundombinu na kuboresha demokrasia na utawala bora.
Iko siku akishatoka watu wataikubali kazi yake