Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Aaaha,dahKweli Kuna baadhi ya mashabiki wa mpira wanasafari ndefu, yaani timu Moja kufurahi baada ya kupata point tatu za jasho Tena timu kubwa ambayo ili uifunge mpaka makosa ya kibinadamu yasiwepo na Bado uki ifunga Kuna watu wanahisi ume kamia!!
Kweli tunasafari ndefu kama mashabiki.
sio kila timu hata yanga pia inakamiwa sanaKila timu ikicheza na Simba unaona inaikamia sana.
Ukitaka kujua kuwa Simba huwa inakamiwa, ngoja timu inayocheza nayo ishinde.
Kuna timu iliifunga Simba 5-1 hadi ikachonga na bango.
Kila timu ikiifunga Simba lazima wachezaji wake waoneshe furaha ya hali ya Juu Sana.
Kuifunga Simba ni kama sherehe hivi. Hakuna timu nyingine yoyote ile hapa Tanzania ambayo ikifungwa wapinzani wao hufanya sherehe zaidi ya Simba.
Nawe kamia.Kila timu ikicheza na Simba unaona inaikamia sana.

Mnalalamika Kila siku mna viongozi wabovu kumbe hata nyie mashabiki ni wabovu?Kila timu ikicheza na Simba unaona inaikamia sana.
Ukitaka kujua kuwa Simba huwa inakamiwa, ngoja timu inayocheza nayo ishinde.
Kuna timu iliifunga Simba 5-1 hadi ikachonga na bango.
Kila timu ikiifunga Simba lazima wachezaji wake waoneshe furaha ya hali ya Juu Sana.
Kuifunga Simba ni kama sherehe hivi. Hakuna timu nyingine yoyote ile hapa Tanzania ambayo ikifungwa wapinzani wao hufanya sherehe zaidi ya Simba.
Nadhani sasa mtaachana kuzisema timu zingine zina cheza na timu dhaifu ama mbovu ,tungo tata za mashabiki wa simba ndiyo inaigharimu timu ya simbaKila timu ikicheza na Simba unaona inaikamia sana.
Ukitaka kujua kuwa Simba huwa inakamiwa, ngoja timu inayocheza nayo ishinde.
Kuna timu iliifunga Simba 5-1 hadi ikachonga na bango.
Kila timu ikiifunga Simba lazima wachezaji wake waoneshe furaha ya hali ya Juu Sana.
Kuifunga Simba ni kama sherehe hivi. Hakuna timu nyingine yoyote ile hapa Tanzania ambayo ikifungwa wapinzani wao hufanya sherehe zaidi ya Simba.
Mashabiki wa Simba wako in denial. Wanaamini wana timu nzuri lakini ukweli timu yao misimu mitatu mfululizo ni mbovu. Usajili wao umekuwa wa hovyo tu. Wanarudia makosa yaleyale kila wakati.Kila timu ikicheza na Simba unaona inaikamia sana.
Ukitaka kujua kuwa Simba huwa inakamiwa, ngoja timu inayocheza nayo ishinde.
Kuna timu iliifunga Simba 5-1 hadi ikachonga na bango.
Kila timu ikiifunga Simba lazima wachezaji wake waoneshe furaha ya hali ya Juu Sana.
Kuifunga Simba ni kama sherehe hivi. Hakuna timu nyingine yoyote ile hapa Tanzania ambayo ikifungwa wapinzani wao hufanya sherehe zaidi ya Simba.
Sababu ni timu mbovu ina uchochoro ambao ukipita unajipatia magoli ya kutoshaKila timu ikicheza na Simba unaona inaikamia sana.