Kwa nini kila timu inaikamia Simba?

Kwa nini kila timu inaikamia Simba?

Simba imetengeneza status yake kwamba ni level za magiant ya Africa,yaani kila mwaka watapimana ubavu mara 2 (home and away) na magiant kama al ahly, wydad n.k

Kisaikolojia ni kuwa timu ya ndani inaamini Simba ni kipimo sahihi cha wao wamekuwa(grow) kisoka .Ukimfunga Simba unajua hata ukienda CAF utamudu. Yote kwa yote, hali hiyo inawaimarisha Simba kuwa na ushindani kikosini ,mfano mzuri Simba kaenda eobo fainali lakini bado mashabiki wanaona ubora hautoshi , hio ni kiyume na timu zingine
Bonge la Pointi ...
 
Kila timu ikicheza na Simba unaona inaikamia sana.

Ukitaka kujua kuwa Simba huwa inakamiwa, ngoja timu inayocheza nayo ishinde.

Kuna timu iliifunga Simba 5-1 hadi ikachonga na bango.

Kila timu ikiifunga Simba lazima wachezaji wake waoneshe furaha ya hali ya Juu Sana.

Kuifunga Simba ni kama sherehe hivi. Hakuna timu nyingine yoyote ile hapa Tanzania ambayo ikifungwa wapinzani wao hufanya sherehe zaidi ya Simba.
Ni kwa sababu ya mdomo wenu na si vinginevyo.
 
Kila timu ikicheza na Simba unaona inaikamia sana.

Ukitaka kujua kuwa Simba huwa inakamiwa, ngoja timu inayocheza nayo ishinde.

Kuna timu iliifunga Simba 5-1 hadi ikachonga na bango.

Kila timu ikiifunga Simba lazima wachezaji wake waoneshe furaha ya hali ya Juu Sana.

Kuifunga Simba ni kama sherehe hivi. Hakuna timu nyingine yoyote ile hapa Tanzania ambayo ikifungwa wapinzani wao hufanya sherehe zaidi ya Simba.
Kuifunga Simba ni kama sherehe hivi. Hakuna timu nyingine yoyote ile hapa Tanzania ambayo ikifungwa wapinzani wao hufanya sherehe zaidi ya Simba.[emoji419][emoji375]
 
Kila timu ikicheza na Simba unaona inaikamia sana.

Ukitaka kujua kuwa Simba huwa inakamiwa, ngoja timu inayocheza nayo ishinde.

Kuna timu iliifunga Simba 5-1 hadi ikachonga na bango.

Kila timu ikiifunga Simba lazima wachezaji wake waoneshe furaha ya hali ya Juu Sana.

Kuifunga Simba ni kama sherehe hivi. Hakuna timu nyingine yoyote ile hapa Tanzania ambayo ikifungwa wapinzani wao hufanya sherehe zaidi ya Simba.
Makolo ni sawa na demu mdangaji tu, kila mwanaume kauzu anaweza kuponea kwake, suala ni muda na makubaliano tu.
 
Back
Top Bottom