Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hivi kitimoto ni kwa ajili ya walevi na wenye kipato kikubwa tu? Kwa nini hii nyama inauziwa baa na hotel kubwa tu halafu iliyoiva pia inapimwa kuanzia nusu kilo tu?
Kwa nini hakuna mama ntilie wanaouza kitimoto kama mboga ya ugali na wali?? Hatuoni huu ni unyanyapaa kwa watu wasioweza kuagiza kuanzia nusu kilo?!
Hili hali inahitaji kubadilika kuwe na mama ntilie wanaouza kitimoto na wauza chips wanaouza mishikaki ya kitimoto.