kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Mama ntilie anatafuta pesa, akiweka kiti moto anafukuza Waislamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaenda Njombe, Sumbawanga, Mbeya, Songea na kwingineHivi kitimoto ni kwa ajili ya walevi na wenye kipato kikubwa tu? Kwa nini hii nyama inauziwa baa na hotel kubwa tu halafu iliyoiva pia inapimwa kuanzia nusu kilo tu?
Kwa nini hakuna mama ntilie wanaouza kitimoto kama mboga ya ugali na wali?? Hatuoni huu ni unyanyapaa kwa watu wasioweza kuagiza kuanzia nusu kilo?!
Hili hali inahitaji kubadilika kuwe na mama ntilie wanaouza kitimoto na wauza chips wanaouza mishikaki ya kitimoto.
Ndio wateja wetu wakubwa mbona?IKiuzwa kwa mama ntilie makobazi watalalamika. Vyombo vya kitimoto vitachanganyika na vingine
Huko mtaani wataanzisha vita. Shem tukale kitimoto basiNdio wateja wetu wakubwa mbona?
Wanaouza mboga ya kitimoto wabandike kibao tu, halafu mbona Kambale, pweza, ngisi, jodari n.k wanauzwa kwa mama ntilie ila Wasabato hawalalamiki?IKiuzwa kwa mama ntilie makobazi watalalamika. Vyombo vya kitimoto vitachanganyika na vingine
Makobazi ni walalamishi si unawajuaWanaouza mboga ya kitimoto wabandike kibao tu, halafu mbona Kambale, pweza, ngisi, jodari n.k wanauzwa kwa mama ntilie ila Wasabato hawalalamiki?
Eti eeenhMakobazi ni walalamishi si unawajua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora tu kiendelee kuandaliwa huko. Wasiachiwe wakaanga chips na mama lishe ni wachafu sana watalisha watu mataptapu
Aje Songea atakula hadi atapike, afu bei chee.Hujaenda Njombe, Sumbawanga, Mbeya, Songea na kwingine
Hata Mtwara kule kuna hospital maarufu ya RC sikumbuki jina la ile Wilaya, wanakula mdudu utadhani hawana akili nzuri.Aje Songea atakula hadi atapike, afu bei chee.